Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!

Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January
Kwani QR Code ni jambo la ajabu sana? QR ya thread yako hii ni hii hapa chini

1685569414855.png

Scan uone !!

January no bogus mmoja anayevutia watu wa aina fulani lakini watu wenye busara na akili walishamjua siku nyingi sana.
 
Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January
Mkuu na wewe umepewa Mtungi wa Gesi ?
 
Msukuma hataacha ushamba popote alipo. Mayalla umeleta ya karne .QR on ministerial level unajikunja uzi
 
Huyu dogo anajifanya bonge ya mjanja kumbe kilaza. Juzi niliona kamvalisha waziri mkuu Oculus utadhani yuko kwenye game .wajameni hizi mbwembwe zitafika mwisho. Hapo hapo na waziri mkuu kakazia hiyu fisadi asisikilize mziki tunaompatia.wizi tupu
 
awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa
Hii inatusaidiaje raia sisi?Umeme haujakatika kwanza bungeni?
Hivi kwanza maji mpaka sasa zimebaki mita ngapi kujaa JNHP Bwawani kule Lindi?
Mkuu we km umepewa bia kadhaa element tulia.
Tunakuheshimu sana👊
 
Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January
Kakutuma? Mwambie hatoshi
 
Ukitaka kuwin Siasa za Nchi hii wakamate Wahandishi wa Habari/Media House kama alivyo mleta Mada.

Anyways, kila la kheri kwenye hizi mbio kuelekea 2030
Sasa 2030 paskali si atakuwa na miaka 70+.. atapewa cheo gani kwa huu umri?
 
Weee mzee nawe bwana, ukipewa bahasha ya kaki tuu unasahau madhila yooote aiseee.
 
Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January
It's the content that counts.
The QR Codes have been in use in hospitals, and dispensaries for years now.
Even vituo vya mafuta na bar na biashara mbalimbali QR code is very common to the point ya kutoona kuwa its nothing kustahilinsuch marinations even if ni mara ya kwanza bungeni.
 
Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu

Paschal, wewe ni mwandishi, una akili sana, ila una njaa na inakufanya uonekane mtu wa hovyo sana
 
Utakuwa na wewe ulipata mgao wa mitungi ya gesi mzee sio Bure. Unashangilia QR code Karne hii sawa na Mashabiki wa Simba wanavyoshangilia chenga za chama uwanjani.
Mzee mayalla unafeli wapi....
 
Ukitaka kuwin Siasa za Nchi hii wakamate Wahandishi wa Habari/Media House kama alivyo mleta Mada.

Anyways, kila la kheri kwenye hizi mbio kuelekea 2030
Nilipoona wale wanafiki wa media house za Clouds na Wasafi wamemshona sana Mgosi nikajua tayari kazi ya kumpamba imeanza.
Vituo hivi viwili vina survive kwa hongo za wanasiasa na wafanyabiashara mafisadi kuwasafisha na kuwapiga promo
 
MKuu MKuu MKuu vip ivi iyo QR code inasmaidia vip mwanakijiji wa nanjilinji kutotumia kuni na mkaa badala yake atumie either gesi au umeme kupika
 
Nilipoona wale wanafiki wa media house za Clouds na Wasafi wamemshona sana Mgosi nikajua tayari kazi ya kumpamba imeanza.
Vituo hivi viwili vina survive kwa hongo za wanasiasa na wafanyabiashara mafisadi kuwasafisha na kuwapiga promo
Ni kweli Mkuu, nakumbuka hata zile mbio za Mzee Lowasa 2012-2015 ni vyombo vya habari ndivyo vilitumika kumpamba asubuhi na jioni.

Hata Mleta Mada kwa kipindi fulani alikuwa kwenye friends of Lowasa.

Kwahiyo ni the same tricky inatumika na akina Mtunza Kibubu na pia Muwasha Umeme
 
Wanabodi,
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!.
Kabla hujasoma hoja za bandiko hili, naomba uanzie hapa kwa kuangalia hili ni bandiko la lini January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Sasa leo katika Bunge la Bajeti, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba afanya historia ya matumizi ya ICT katika uwasilishaji wa bajeti, awasilisha hotuba ya bajeti yake ikiwa na QR Code, hii ikiwa ni mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania kwa hotuba ya bajeti yenye QR code.

Kwa faida ya wasiojua kuhusu QR Code, zamani hotuba za bajeti za Wizara zote na hoja zote zilikuwa zinaprintiwa hard copy, na kuwekwa pigeon holes za wabunge, this uses millions!.

Baada ya kuanza e-government, wabunge wote wamepewa vishkumbi, iPads, hotuba za bajeti zinakuwa kwenye soft copy, wabunge wanatakiwa kutembelea tovuti ya Wizara na kuipakuwa kwa kuidownload na kuisoma.

Kitendo cha kuwasilisha hotuba yenye QR code, sasa hakuna haja ya kumtumia mtu wala ku download, ni una scan tuu QR code, hotuba yote inafunguka kwenye kishkwambi chako au simu yako, hivyo saves time na hustles.

La mwisho ni January Makamba presentations ya bajeti yake, he was speaking like a president in waiting!.
I was very right niliposema hivi kumhusu January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President

Paskali
Mabandiko mengine ya mwandishi kumhusu January
Hotuba ya Stergomena Tax pia ilikuwa katika mtandao. Nimeiperuzi nimeona yule anataja trouble spots duniani,bila kufanya diagnosis ya yale matatizo.
Napinga kumsifia Makamba kwamba ni intelligent. Acha watu wa study maneno yake waamue wenyewe.
 
Back
Top Bottom