peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Huyu jamaa ni sikio la kufa walahi [emoji3062]
Hizi ajira kupitia ajira portal zina matatizo makubwa mnooo.Kuna makosa yamefanyika hapo. Hatua ichukuliwe
Ilo baraza litakua na malaika?Hizi ajira kupitia ajira portal zina matatizo makubwa mnooo.
Ninashauri liundwe baraza la ajira portal litakalofanya kazi kama baraza la mitihani Ili litunge, lisafirishe na kusahihisha mitihani na kutoa matokeo sahihi.
Ajira portal mitihani inavuja mwisho ajira serikalini zitakuwa Za Watoto wa wakubwa, wa dini moja, na vilaza na wa kabila moja.
Kuna hatari inakuja.