Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,173
- 823
Soma Id yake huenda ni yule naibu wa kule mjengoni Dom.Najua masaa yote ulikuwa unagoole, na umeshindwa kuleta jibu.
Kwa kukushauri tu, penda kusoma vitabu. A good lawyer is made from libraries, and you can't make a good lawyer out of library. In-short you can't be a lawyer without a library.
Na hiyo haikuwa assigment. Nilitaka nijue kama umeiva katika elimu yako ya sheria. Being a good lawyer usingeshindwa kutatua hilo. Pole.