Waziri wa sheria na katiba harakisha mswada wa bodi ya mawakili haraka sana Bungeni

Soma Id yake huenda ni yule naibu wa kule mjengoni Dom.
 
Mimi binafsi naona sii vizuri kufanya maamuzi makubwa ya kubadili sheria kisa MTU mmoja tu ambaye ataondoka na atakuja mwingine,unataka hivyo leo kwakuwa siyo wewe ni raisi wa mawakili lakini keshokutwa naweza kuwa mimi au wewe je utafanyeje?mada yako hayako kitaifa zaidi yako kichama zaidi
 
ndio maana waafrika hatuendelei tunawaza kumalizana kimaendeleo wenyew

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Nilishafanya hiyo kwa walimu wangu. Who are you to me that I should do what you like to. Utanilipa nini? For what? Eti unataka kunipima! Ili iweje?
 
Mngepikwa Law school usingeushabikia upuuzi wa CCM,sema umepikwa kiCCM,unadhani hao wapinzani siyo watanzania ,watanzania ni CCM tu??

Kama ulisoma basi ulijifunza kusoma na kuandika haujaelimika
Ni upuuzi mkubwa kuendelea kuamini kuwa kila WAKILI/MWANASHERIA lazima awe mwanachama wa CDM. Chama ambacho hakina hata ajenda ya kufuga samaki. It is a bogus party.
 
Lengo..

Dharura..

Unaonekana kama uliyepandwa na kichaa hivi.

Punguani wahedi!
 
Lengo..

Dharura..

Unaonekana kama uliyepandwa na kichaa hivi.

Punguani wahedi!
Lisu wenu lazima aisome namba. Nchiil hii ina Raisi moja. Moja tu, JPM. Wengine wote ni maraisi fake.
 
Kweli Rais Wa T L S Ni Dicteta Uchwara Anayeibukia Anataka Kuwa Mtawala Wa Tls Hadi Kifo.Ameweka Nafasi Zote Za Tls Ndugu Zake Nawapambe Wake.
 
Mtu mmoja tu anasababisha mtafaruku nchi nzima, hana jeshi wala kikundi cha ulinzi, ila akiongea tu eti anahatafisha usalama wa nchi, naona mtabadilisha hadi mipaka ya nchi kwa ajili ya huyu mtu
 
Lisu wenu lazima aisome namba. Nchiil hii ina Raisi moja. Moja tu, JPM. Wengine wote ni maraisi fake.
Punguza jazba..

Kumbe kinachokushupaza misuli ya shingo ni Lissu kuitwa rais?
 
Kweli Rais Wa T L S Ni Dicteta Uchwara Anayeibukia Anataka Kuwa Mtawala Wa Tls Hadi Kifo.Ameweka Nafasi Zote Za Tls Ndugu Zake Nawapambe Wake.
Good. Lissu ni DIKTETA HALISI, anayejificha kwenye banda la TLS yetu. Lazima Law itumike kuifuta TLS haraka sana under certificate of urgency. No way, we can let such a senseless and uncouth guy to lead the noble profession. It is a curse to this great nation.
 
Mwanasheria gani uchwara ...Phd gani wewe unaefikiria kubadili sheria kwa sababu ya mtu mmoja? Lisu ameshinda kwa kupigiwa kura na majority ya mawakili...Hata kama ww humtaki au haukumpigia kura lkn hauwezi kulazimisha kubadili sheria kwa sababu yy alishinda.
Isitoshe urais wenyewe ni wa mwaka mmoja tu.
Kwahiyo muda wake ukiisha utaandika tena TLS irudi?

Shame on you!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni upuuzi mkubwa kuendelea kuamini kuwa kila WAKILI/MWANASHERIA lazima awe mwanachama wa CDM. Chama ambacho hakina hata ajenda ya kufuga samaki. It is a bogus party.

Hahahahhahahahah wenye ajenda ndiyo hicho chama kinakumaliza akili yako??Nikiongelea mambo ya CCM na aongelea tabia mbovu iliyoanzishwa na CCM ya kuonea na kunyanyasa watu kwa sababu ya tofauti ya itikadi,dini au ukanda.Kuvunja haki za raia na katiba ya yetu.

Kama Mwansheria uliyesoma ukaelimika haya ungeyaona kwa wepesi.Wenzio wanayaona wanaogopa kusema,wanamshukuru Lissu kwa kuwa na uwezo wa kuyasema.Na mimi nampongeza Lissu kwa uwezo wake wa kuyaongea bila kuogopa.

Pole wewe ambaye mwanasheria unayetetea uvunjwaji wa Katiba na Sheria tulizojiwekea wenyewe kama Taifa.Yawezekana ni mtoto/ndugu/rafiki au mwanafamilia toka kizazi cha watawala kwa hali hiyo huwezi kuona umewekwa upofu.Unaogopa tumbo litakosa chakula chake
 

You are not even a lawyer ,ungekuwa Lawyer usingeongea huu upumbavu
 
Wewe na wanasheria wenzio mlio na uzio wa kufikiri ndio mlioandika sheria mpya ya madini na kuiweka chini ya Rais kama mtu mwenye maamuzi na mamlaka ya juu ktk madini kwa reflection ya Magufuli ..Magufuli akiondoka kwa muda wake kwisha au kufa kama wanavyokufa binadamu wengine na akapatikana Rais mwizi mtaenda tena bungeni kubadilisha sheria....

What kind of lowyer you are????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu wenu lazima aisome namba. Nchiil hii ina Raisi moja. Moja tu, JPM. Wengine wote ni maraisi fake.

NAona issue uligombea urais wa TLS na Lissu umepigwa chini sishnagai,wewe siyo wakili ni mchumia tumbo tu wa hapo Lumumba.

Kwako JPM ni rais kwa wengine ni Mtawala tu asiyekuwa na mission wala vision.
 
Nilishafanya hiyo kwa walimu wangu. Who are you to me that I should do what you like to. Utanilipa nini? For what? Eti unataka kunipima! Ili iweje?

Halafu ndiyo unajisifu una PhD,hebu on lugha yako ilivyo haijionyeshi hata kidogo kwamba wewe ni mwanasheria,uko mtupu kabisa.
 

Huyo siyo Mwanasheria angekuwa mwanasheria asingekubali Chama Chao Kifutwe sababu ya upumbavu wa Chama Tawala.Ni mchumia tumbo tu wa hapo Lumumba
 
Sheria ya TLS lazima ife. TLS ibaki kama NGO ambayo wanajiunga kwa HIARI. I hate TLS. Let it die as soon as practicable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…