Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ndiyo chanzo cha No Reforms No Elections

Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa ndiyo chanzo cha No Reforms No Elections

Si unaona baada ya kukata majina 12000 Hadi Dr Nchimbi alishituka, akaagiza arudi kupunguza punguza masharti kidogo. That means alibutua sana hadi mabosi wakasema hii sasa kali😀😀😀
That was too much, alikwenda style kama ya 2019 wakati wa Magu.
 
Huyu mbunge kapigilia msumari issue ya Mchengerwa msikilize:

-
 
Sasa kama wewe ccm umeshanusa tatizo na ku declare kwamba uchaguzi wa 2019, 2020, 2024 haukua uchaguzi bali UCHAFUZI kupitia tamisemi, basi CCM kwa maslahi na AMANI ya taifa hili murudi mezani ili tusuke kanuni za HAKI kwa uchaguzi wa heshima kwa wananchi, serikali na viongozi wake.
Ushauri huu una mashiko, naona kama lolote laweza kutokea
 
Hadi wewe CCM nguli umenyanyua mikono??? Kweli nchi hii inaenda kupata Mabadiliko ya kweli kutoka kwa Mkoloni mweusi.

Nakubaliana naww kuhusu Mchengerwa. Niliwahi andika humu kuwa nishangaa sana alivyopata Uwaziri maana aliondoka Mahakama kwa kuresign baada ya kusikia tetesi kuwa wanaanza kumchunguza kwa tuhuma za Rushwa akiwa Katibu wa Jaji Kiongozi Jaji Jundu.

Endapo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka jana 2024 ungekuwa huru na wa haki, hoja za Chadema kuhusu No Reform No Election zisingekuwa na mashiko.

Tupe wasifu wake mkuu, tuna haki ya kujua tunaowalipa kwa kodi zetu!
 
That was too much, alikwenda style kama ya 2019 wakati wa Magu.
Hatulimaye Mama Mkwe kamtoa Mchengerwa kwenye uwaziri wa TAMISEMI na kahamia Afya.

Bila Mchengerwa tusingefika hapa tulipo penye NRNE
 
Back
Top Bottom