Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kusanya mapato kupitia malori yenye Uchanja

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi kusanya mapato kupitia malori yenye Uchanja

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
GTs,

Serikali kupitia wizara ya uchukuzi iweke amri Malori yote yenye uchanja yawekewe vyuma vya kuzuia makontena kuanguka kutoka kwenye uchanja wake.

Tena hii kitu inaweza fanyika kupitia Temesa, fanya kila gari ikawekewa kingo 8@250,000 mara Malori yaliyopo mfano milioni mbili mapato jumla ni trioni nne.

Hizi hela zinaweza kutumika kupanua barabara ya maili moja mpaka angalau chalinze. Waziri changamkia hii fursa haraka.
 
Siku hizi sipuuzii mawazo ya kipuuzi kama haya kwa kisingizio cha kuongeza mapato. Hata tozo zilisnza kimzahamzaha hvhv kwa kisingizio cha kuboresha sekta ya mawasiliano badala yake ikageuka mwiba
 
Back
Top Bottom