Waziri wa Ujenzi ,tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

Waziri wa Ujenzi ,tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
 
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za husika haswa usiku kunakosababishwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
Foleni ya kurudi nyumbani haiitii hasara serikali...

Hapo sana sana wajenge service road magari yaanze kuchepuka stand ya Korogwe hapo kanisani
 
Yule kamhonga kiongozi mkuu billion 10 unadhani atatolewa.Kwanza kajenga ndani ya Barbara lakini Wala hakuna wasiwasi
 
Ni kimara Resort mkuu siyo Korogwe na kuhusu malalamiko yako nikweli pale Malori ndiyo chanzo cha jump ila chakufanya inabidi Oryx ajenge Shell nyingine mbele huko karibia na Gogoni na iwe special kwa malori ya mikoani pale Gari ndogo ndiyo zijaze wese.
 
Yule kamhonga kiongozi mkuu billion 10 unadhani atatolewa.Kwanza kajenga ndani ya Barbara lakini Wala hakuna wasiwasi
Yule mangi atoe 10b labda kama kituo kimechukuliwa na mtu mwingine
 
Kwanza kwanini hakuna service road kwa upande ule maana ingesaidia sana kupunguza foleni
 
Back
Top Bottom