Waziri wa Ujenzi, tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

Waziri wa Ujenzi, tunaomba kituo cha mafuta cha Oryx kilichopa kimara koregwe kifungwe

Oryx ana wateja wengi wa malori ya transit. Badala ya kuweka kituo mandela road ama kujaza malori kwenye kituo chake cha kurasini near Port. Yeye anategemea kituo cha Kimara kujaza malori
 
Mhemshimiwa Waziri pole na majukumu.Tunakuomba kituo tajwa hapo juu kimekuwa chanzo kikuu cha foleni nyakati za usiku kunakosababoshwa na malory yanayojaza mafuta kituoni hapo.
Kama hakikubomolewa kipindi cha Magufuli sidhani kama kuna mwenye utuhubutu wa kukibomoa! Tajiri huyo ana mizizi mirefu sana sana…..
 
Hiki kituo nahisi kishapewa onyo koz sasa hivi malori yamepungua hapa.
Shida ya foleni njia ya kimara huchagizwa na kwanza na ongezeko la magari madogo ya binafsi na barabara hazikidhi. Nitatoa mfano.

Baada ya kuisha daraja la Kijazi. Hakukuwa na foleni saaana maana watu wengi walitumia magari ya daladala na mwendo Kasi ulikuwa uko vizuri. Ilikuwa gari zinajaa parking maeneo kama kimara mtu analiacha gari lake analipitia jioni akirudi kazini. Sasa usafiri wa mwendo Kasi hauleweki watu wanaona Bora apande gari lake la binafsi ama Bajaj.

Kona ya kimara mwisho kuitafuta round about ya kimara kwenda Mbezi. Pale engineers walichemka, tena kuna siku bendera itasimama nusu mlingoti. Hesabu za engineers wa Strabag au serikali waliminya eneo dogo wapate Kona ya mwendo Kasi matokeo yake pale kuna shida kati ya gari daladala inayotoka kushusha watu kituo Cha kimara, 3neo.la dalaja na hiyo Kona yawendo kasi hivyo barabara imebana sana.
 
Back
Top Bottom