Waziri wa Ulinzi, Dkt Stergomena azuru kaburi la Hayati Benjamin Mkapa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa, na kuwasamilia baadhi ya wanafamilia, katika Kijiji cha Lupaso, Wilaya Masasi Mkoa wa Mtwara.

Akiongea katika tukio hilo,Waziri Tax aliyeambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala na ujumbe wa mkoa, Waziri Tax, amemzungumzia Hayati Benjamin Mkapa aliyewahi kufanya kazi naye kwa karibu, kama Kiongozi mahiri na mchapakazi wakati wa uhai wake na mfano wa kuigwa.
WhatsApp Image 2024-10-09 at 23.37.04_f0583bfb.jpg

WhatsApp Image 2024-10-09 at 23.37.03_03684b6a.jpg

WhatsApp Image 2024-10-09 at 23.37.01_8cc21b9e.jpg
 
Hivi kuna utaratibu gani kuyatembelea haya makaburi.
 
Kutambika....hata mimi nikirud home lazma nitembelee kaburi la mama yangu
Ivi izi stori za kutambika zinaukweli wowote? Mana wengi wanasema kama ukiwa unaenda kutembelea makaburi ya wapendwa wako unapata mafanikio fasta sana
 
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa, na kuwasamilia baadhi ya wanafamilia, katika Kijiji cha Lupaso, Wilaya Masasi Mkoa wa Mtwara.

Akiongea katika tukio hilo,Waziri Tax aliyeambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala na ujumbe wa mkoa, Waziri Tax, amemzungumzia Hayati Benjamin Mkapa aliyewahi kufanya kazi naye kwa karibu, kama Kiongozi mahiri na mchapakazi wakati wa uhai wake na mfano wa kuigwa.
so what?
 
Back
Top Bottom