Waziri wa ulinzi wa Israel Israel Katz awaonya watawala wa Syria!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Waziri wa ulinzi wa Israel Katz anamtaja kwa jina Sharaa wa Syria kuwa ndiye aliyehusika na kurusha roketi, na kuapa 'jibu kamili' hivi karibuni

Kufuatia shambulizi la roketi kutoka Syria dhidi ya Israel jioni ya leo, Waziri wa Ulinzi Israel Katz anasema Jerusalem inamwona kiongozi wa Syria Ahmad al-Sharaa kama "anayewajibika moja kwa moja kwa kila tishio na urushaji wa [roketi] kuelekea Israeli."

"Jibu kamili litakuja hivi karibuni," Katz anatishia, akiongeza kwamba Israeli "haitaruhusu kurejea kwa ujinga wa Oktoba 7 2023.

IMG_3125.jpeg
 
Houthi wamerusha vyuma jioni hii
 
Fupa jipya hilo ruka nalo

🇸🇾⚡🇮🇱 A commander in the Martyr Mohammad al-Deif Brigades told Al Jazeera:

“Our operations against the Israeli occupation are a response to the massacres in Gaza. They will not stop until the bombing of the vulnerable in Gaza ends.”

*Hamas reportedly denied any connection to the group after it claimed responsibility for launching two rockets from Syria toward the occupied Golan heights.
 
Hiyo haijalishi serikali ya Syria watawajibika na mashambulizi yoyote na usiku huu wameshapigwa ghala za kuwekwa silaha zimepigwa na makombola waliyoyarusha yamepopolewa. Kazi kwao sasa na kipondo kiko palepale.
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    1.1 MB
Hiyo haijalishi serikali ya Syria watawajibika na mashambulizi yoyote na usiku huu wameshapigwa ghala za kuwekwa silaha zimepigwa na makombola waliyoyarusha yamepopolewa. Kazi kwao sasa na kipondo kiko palepale.
Syria ilishajifia huyo si jamaa yenu toka kiongozi wa ISIS, anasema yeye na nyinyi lenu moja ila munamuwashia moto tamaa zimemponza, mimi nazungumzia hilo fupa jipya japo halihusiani na Hamas sijui limetokea wapi wanajiita shahidi Muhammad deif sijui resistance ya kweli au pro ya Mazayuni kuwamalizia wasyria ngoja tuone yajayo bado na wachimba ni niwajue vizuri mwanzo mzuri kama kweli ni resistance ya kweli
 
Back
Top Bottom