Huoni waziri na IGP wamedharau wito wa mahakama.Safi sana. Sio mahakama ya nchi ya ahadi, yenyewe ni hewala tu...
Baada ya kugomea amri ya mahakama, kilichofauatia ni nini? Pigwa faini tena itakayokatwa kwa mishahara zao.Huoni waziri na IGP wamedharau wito wa mahakama?
Huo usafi unatokea wapi?
Miguna Miguna katimuliwa kimabavu uku mahakama walikataza lakini serikali wamemfukuza tena kimabavu na kwa taarifa yako wamem drugged akiwa na afisa wa kijasusi.Baada ya kugomea amri ya mahakama, kilichofauatia ni nini? Pigwa faini tena itakayokatwa kwa mishahara zao.
Kabisa mkuu.Hii ndio Africa na siasa za kijingajinga tu
Kabisa mkuu.Utekelezaji hapo ni zero ni hukumu za kujifurahisha tu.