Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Kristi Noem, mwanamama mtata anayesinamia idara ya uhamiaji Marekani (ICE) amejikuta katika kizazaa baada ya kufungiwa milango na kuzuiliwa nje asitumie choo cha jengo la manasipaa katika jimbo la Illinois alipokuwa katika operations za ICE. Mwanamama huyo amemtupia lawama Gavana wa jimbo hilo JB Pritzker ambaye ni mpingaji mkubwa wa sera za serikali ya Trump hasa za uhamiaji.