Labda ni trans gender umeona anavyotembea kapanua miguu labda operation haijapona.
Kwanini asingeingia McDonald's yeyote aende akajisaidie? Katili atarudishiwa ukatili wake!Kristi Noem, mwanamama mtata anayesinamia idara ya uhamiaji Marekani (ICE) amejikuta katika kizazaa baada ya kufungiwa milango na kuzuiliwa nje asitumie choo cha jengo la manasipaa katika jimbo la Illinois alipokuwa katika operations za ICE. Mwanamama huyo amemtupia lawama Gavana wa jimbo hilo JB Pritzker ambaye ni mpingaji mkubwa wa sera za serikali ya Trump hasa za uhamiaji.
View attachment 3483408
Ila marekani ya sasa ina vituko sana.Kristi Noem, mwanamama mtata anayesinamia idara ya uhamiaji Marekani (ICE) amejikuta katika kizazaa baada ya kufungiwa milango na kuzuiliwa nje asitumie choo cha jengo la manasipaa katika jimbo la Illinois alipokuwa katika operations za ICE. Mwanamama huyo amemtupia lawama Gavana wa jimbo hilo JB Pritzker ambaye ni mpingaji mkubwa wa sera za serikali ya Trump hasa za uhamiaji.
View attachment 3483408
DuhHiyo nchi kwa sasa imekuwa kama ghetto la wahuni.