Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro: Tuliowapa Visit Kilimanjaro na Zanzibar wametuaibisha, ila tuliowapa Visit Tanzania wameiheshimisha nchi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini Nigeria.

Mkitaka mpambwe kwa Kucheza Jangwani Mafuriko Zizi la Ng'ombe League ndipo mfurahi na mumpongeze? Jitahidini nanyi Kushiriki Michuano ya Kimataifa CAFCL na CAFCC muone kama kwa Kikosi chenu hicho cha Kubebwa hovyo na Marefa mtaweza na ni rahisi tu kama Kumzawacia Mchezaji wenu Ng'ombe waliokondeana na wenye Utapia Mlo na Kiriba Tumbo.
 
Ngoja Utopolo waje wakushukie kama mwewe. Sasa hivi kuongoza ligi kwa muda tu wanajiona kama wamekuwa Man City!
Nawangojea na uzuri ni kwamba Moto wangu wanaujua vyema tu na sikumbuki mara ya mwisho ni lini nimeshindwa Vita hapa JamiiForums japo Kumbukumbu nzuri niliyonayo ni ya Kukimbiwa na Kuogopwa vilivyo na Maadui zangu hao na Waandamizi.
 
Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini Nigeria.

Mkitaka mpambwe kwa Kucheza Jangwani Mafuriko Zizi la Ng'ombe League ndipo mfurahi na mumpongeze? Jitahidini nanyi Kushiriki Michuano ya Kimataifa CAFCL na CAFCC muone kama kwa Kikosi chenu hicho cha Kubebwa hovyo na Marefa mtaweza na ni rahisi tu kama Kumzawacia Mchezaji wenu Ng'ombe waliokondeana na wenye Utapia Mlo na Kiriba Tumbo.
Punguza makasiriko....dozi ya juzi imekolea leo [emoji23]
 
Hii.nimeisikia waziri Damas Ndumbaro akiwaambia utopilo kuwa wameliaibisha taifa.
 
Amos Makala na huyu Ndumbaro ni sampuli zinazo fanana kimuonekano, ukiwafatilia kwa umakini utagundua watu wa dizaini hii ni janga jingine.
 
Sijajua terms za serikali kulipa hivyo vilabu kuvaa logo ya visit tanzania. Ila kama kuna ulipwaji mkubwa basi tujitahidi vilabu vifike ata nusu fainali
 
Nawangojea na uzuri ni kwamba Moto wangu wanaujua vyema tu na sikumbuki mara ya mwisho ni lini nimeshindwa Vita hapa JamiiForums japo Kumbukumbu nzuri niliyonayo ni ya Kukimbiwa na Kuogopwa vilivyo na Maadui zangu hao na Waandamizi.
POPOMA katika ubora wako
 
Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini Nigeria.

Mkitaka mpambwe kwa Kucheza Jangwani Mafuriko Zizi la Ng'ombe League ndipo mfurahi na mumpongeze? Jitahidini nanyi Kushiriki Michuano ya Kimataifa CAFCL na CAFCC muone kama kwa Kikosi chenu hicho cha Kubebwa hovyo na Marefa mtaweza na ni rahisi tu kama Kumzawacia Mchezaji wenu Ng'ombe waliokondeana na wenye Utapia Mlo na Kiriba Tumbo.
hahahhaha kolooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo katika ubora wako wa hali ya juu sanaaaaa
 
Back
Top Bottom