GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nawangojea na uzuri ni kwamba Moto wangu wanaujua vyema tu na sikumbuki mara ya mwisho ni lini nimeshindwa Vita hapa JamiiForums japo Kumbukumbu nzuri niliyonayo ni ya Kukimbiwa na Kuogopwa vilivyo na Maadui zangu hao na Waandamizi.Ngoja Utopolo waje wakushukie kama mwewe. Sasa hivi kuongoza ligi kwa muda tu wanajiona kama wamekuwa Man City!
Punguza makasiriko....dozi ya juzi imekolea leo [emoji23]Unawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini Nigeria.
Mkitaka mpambwe kwa Kucheza Jangwani Mafuriko Zizi la Ng'ombe League ndipo mfurahi na mumpongeze? Jitahidini nanyi Kushiriki Michuano ya Kimataifa CAFCL na CAFCC muone kama kwa Kikosi chenu hicho cha Kubebwa hovyo na Marefa mtaweza na ni rahisi tu kama Kumzawacia Mchezaji wenu Ng'ombe waliokondeana na wenye Utapia Mlo na Kiriba Tumbo.
Kwa vile wanapiga kwenye mshono ?Amos Makala na huyu Ndumbaro ni sampuli zinazo fanana kimuonekano, ukiwafatilia kwa umakini utagundua watu wa dizaini hii ni janga jingine.
POPOMA katika ubora wakoNawangojea na uzuri ni kwamba Moto wangu wanaujua vyema tu na sikumbuki mara ya mwisho ni lini nimeshindwa Vita hapa JamiiForums japo Kumbukumbu nzuri niliyonayo ni ya Kukimbiwa na Kuogopwa vilivyo na Maadui zangu hao na Waandamizi.
hahahhaha kolooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo katika ubora wako wa hali ya juu sanaaaaaUnawaambia Wageni ( Watalii ) kuwa waje Watembelee Kilimanjaro na Zanzibar halafu Wewe Mwenyewe unatuaibisha Watanzania wote kwa Kukung'utwa na Wanaijeria Kwako Tanzania na hata Kwao nchini Nigeria.