Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bakhresa anaipenda sana Zanzibar kuliko bara. Muda mwingi hukaa Zanzibar kuliko baraBakhressa Anajitahid sana kuipa Zanzibar muonekano mzuri lakini SMZ hawako tayri kurahisisha maisha ya wenzao
Hahahaha una matatizo sana. sasa ni kwao alizaliwa na familia yake iko huko na biashara zake ameanza huko.. unategemea akae mwanza?Bakhresa anaipenda sana Zanzibar kuliko bara. Muda mwingi hukaa Zanzibar kuliko bara
Nilikuwa sikujibu wewe. Hakuna asie jua hilo. Mbona MO haishi Singinda sana alikozaliwa??Hahahaha una matatizo sana. sasa ni kwao alizaliwa na familia yake iko huko na biashara zake ameanza huko.. unategemea akae mwanza?
Hahahaa kumbe ndiyo rationalization yako hiyo...Nilikuwa sikujibu wewe. Hakuna asie jua hilo. Mbona MO haishi Singinda sana alikozaliwa??
Bora amejenga kwao....angejenga Kigamnoni saa jizi mzee wa kutumbua ..angeshasema huu mradi ardhi umepata wapi..ya wana vijiji..na bashite angetaka apewe flat 5 au mradi utasimama
Ata uku nako, usije ukashangaa kabisa kuna vigogo wanamiliki nyumba pale fumba....Bora amejenga kwao....angejenga Kigamnoni saa jizi mzee wa kutumbua ..angeshasema huu mradi ardhi umepata wapi..ya wana vijiji..na bashite angetaka apewe flat 5 au mradi utasimama
Ofcourse mkuu.. zile nyumba zinajengwa ili ziuzwe siyo abaki nazo Bakhressa. Sheria imekua twisted kwenye baadhi miradi ya real estate Znz ina ruhusu foreigners ku own land. Hizo nyumba watu wengi wamesha place order.Ata uku nako, usije ukashangaa kabisa kuna vigogo wanamiliki nyumba pale fumba....
Mbona Magufuli kampatia aridhi bure Bakhresa yakujenga kiwanda cha sukari na amesha anza matayarisho. Magufuli hana shida na mleta maendeleoBora amejenga kwao....angejenga Kigamnoni saa jizi mzee wa kutumbua ..angeshasema huu mradi ardhi umepata wapi..ya wana vijiji..na bashite angetaka apewe flat 5 au mradi utasimama
Mbona Magufuli kampatia aridhi bure Bakhresa yakujenga kiwanda cha sukari na amesha anza matayarisho. Magufuli hana shida na mleta maendeleo
naona unaleta siasa and i real hate that. Siasa ana muda wakeamempa yeye angemkuta kapewa na kikwete angemyanganya....
na hilo shamba amenyanganywa mwekezaji mwengine ambao wamefungua kesi ya madai...nje ya nchi...
ni kweli hata tatizo akikupa yeye ila kama umepewa hata na waziri wake tu bila kuhjua ujue imekula kwako....
kule Zanzibar wawekezaji hawanyanyaswi