Waziri wa utalii Kenya aitembelea Zanzibar

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Amekubaliana na maendeleo makubwa ya Zanzibar kwa namna inavyo piga atuaha
 
Bakhresa(azam) amesema anataka kuifanya Zanzibar kama Dubai. Amedai pindi atapo maliza mradi wa Fumba Town amesha pewa aridhi nyingine ya kujenga skyscrapers ndefu Africa na amesisitiza atashilikiana na rafiki zake kutoka Dubai katika huo mradi ili waweze kuufanikisha kwa haraka
 
Aliemuua mzee karume kiukweli aliwapata wazenji ila wangekua mbaali sana hata hivyo wapo wazalendo wanajitahidi
 
Bakhressa Anajitahid sana kuipa Zanzibar muonekano mzuri lakini SMZ hawako tayri kurahisisha maisha ya wenzao
 
Bakhresa anaipenda sana Zanzibar kuliko bara. Muda mwingi hukaa Zanzibar kuliko bara
 
Hahahaha una matatizo sana. sasa ni kwao alizaliwa na familia yake iko huko na biashara zake ameanza huko.. unategemea akae mwanza?
 
Nilikuwa sikujibu wewe. Hakuna asie jua hilo. Mbona MO haishi Singinda sana alikozaliwa??
 
Kaenda kupata shule kidogo toka kwa wazoefu wanaofanya vizuri.
 
Waje pia wajifunze namna ya kupanga miji yao kama Tanzania inavyofanya kwenye national housing cooperation ambayo ni largest real-estate company I East & Central Africa
 
Bora amejenga kwao....angejenga Kigamnoni saa jizi mzee wa kutumbua ..angeshasema huu mradi ardhi umepata wapi..ya wana vijiji..na bashite angetaka apewe flat 5 au mradi utasimama
 
Duh..
 
Ata uku nako, usije ukashangaa kabisa kuna vigogo wanamiliki nyumba pale fumba....
 
Ofcourse mkuu.. zile nyumba zinajengwa ili ziuzwe siyo abaki nazo Bakhressa. Sheria imekua twisted kwenye baadhi miradi ya real estate Znz ina ruhusu foreigners ku own land. Hizo nyumba watu wengi wamesha place order.
 
Bora amejenga kwao....angejenga Kigamnoni saa jizi mzee wa kutumbua ..angeshasema huu mradi ardhi umepata wapi..ya wana vijiji..na bashite angetaka apewe flat 5 au mradi utasimama
Mbona Magufuli kampatia aridhi bure Bakhresa yakujenga kiwanda cha sukari na amesha anza matayarisho. Magufuli hana shida na mleta maendeleo
 
amempa yeye angemkuta kapewa na kikwete angemyanganya....

na hilo shamba amenyanganywa mwekezaji mwengine ambao wamefungua kesi ya madai...nje ya nchi...
ni kweli hata tatizo akikupa yeye ila kama umepewa hata na waziri wake tu bila kuhjua ujue imekula kwako....
kule Zanzibar wawekezaji hawanyanyaswi
 
naona unaleta siasa and i real hate that. Siasa ana muda wake
 
Back
Top Bottom