Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Hii wizara ya vijana ni kuchezea pesa na kuwahaada vijana tu kwa maneno sio vitendo.
Maneno ni mengi sana kama alivyo yeye na yeye anauza maneno sio kuyatumia angeweza kutoboa kuliko kukubari na yeye kuwa muwajiri.
Maneno yake ukimsikiliza unaweza kusema huyu ni tajiri kuzidi Mo na elon musk.
Hii serikali ya ovyo mnaona kabisa vijana hawana mitaji mnaenda kupeleka maneno sijui watapata labda kwa jini subriani.