Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Anaadika Peter Hegseth, Waziri wa Vita wa Marekani kupitia ukurasa wake wa X:
"Kuua Wakristo wasio na hatia nchini Nigeria na mahali popote kunapaswa kuisha mara moja.
Idara ya Vita inaandaa hatua. Ama Serikali ya Nigeria itawalinda Wakristo, ama tutawaua wanamgambo wa kiislamu wanaofanya mashambulizi haya ya kikatili."