TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

Amevipiga vita mwendo amaeumaliza....apumzike kwa amani najiulizaga maksudi ya Mungu kutuleta duniani afu anaturudisha ardhini anatutenganisha na wapendwa wetu jamani yalikuwa ni yapi[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Dhambi zetu ndizo zilizaa mauti, tulikiuka maagizo ya Mungu.
 
Kuna taarifa kuwa waziri wa zamani wa fedha Basil Pesambili Mramba amefariki leo asubuhi katika hospitali ya Regency.

Ngoja nifuatilie zaidi!
Kwahiyo kwasababu aliwahi Kuhukumiwa akiwa na Yona ndiyo maana huyu hakutakiwa Kuiga rasmi dunia akitokea Kwa Mzena Makumbusho kama wengineo kadhaa?
 
Mkuu, kwa sisi tunaye endelea KUMUENZI 'MWENDAZAKE' ungetutafsiria! Hatujaambua kitu hapo!
 
Nilikuwa na Hasira nae sana Marehemu Mramba hasa kwa Kauli yake alipokuwa Waziri wa Fedha kipindi cha Hayati Rais Mkapa aliyomwambia aliyekuwa Rais wa IMF wakati huo kuwa Watanzania wakiongezewa Mishahara wataishia tu Kulewa na Kuongeza Wanawake hivyo bora tu wawe na Mishahara yao hii hii ya Kawaida.

Hata hivyo kwa Taarifa hii nimesamehe.
 
Dunia hii ni mapito...jitahidi kumpenda jirani yako kama nafsi yako.

Wanafunzi wakamuuliza Mola wao, Je jirani yetu ni nani?
Na mimi swali hili nawaachia wana JF mtafakari.
 
Oooh !! Poleni sana. Ni msiba mkubwa .
 
Ufu 14:13

Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.

Kwaheri Basil Pesambili Mramba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…