TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

ameumaliza mwendo wake.
kazi kwetu ambao bado tuko hai,
tujiulize je?
utaumaliza mwendo wako vipi?
R. I. P
 
[emoji26]
Screenshot_20210817-104344_Facebook.jpg
 
Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.

Dunia si lolote wala chochote, tukana watu, iba, limbikiza mali nk, mwisho vyote utaviacha.
 
RIP BP Mramba.
Ulituambia tutakula nyasi ili ndege inunuliwe, na kweli tukala nyasi na Gulfstream ikanunuliwa.
 
Amevipiga vita mwendo amaeumaliza. Apumzike kwa amani najiulizaga maksudi ya Mungu kutuleta duniani afu anaturudisha ardhini anatutenganisha na wapendwa wetu jamani yalikuwa ni yapi😢😢😢😢😢
huku sio kwetu tumekuja field tu, huko ardhini napo sio kwetu itafika siku tutatoka tena na hapo tutakutana na wapendwa wetu wote kuanzia babu wa kwanza mpaka mjukuu wa mwisho....tatizo siku hiyo tutakimbiana tena badala ya kukutana kwa furaha..
 
Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered. Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy. We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage. The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen. Godfrey B. Mramba.
IMG-20210817-WA0077.jpg
 
View attachment 1895289
Basil Pesambili Mramba

Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered.

Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy.

We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage.

The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen.

Godfrey B. Mramba.
View attachment 1895304
so SAD, hakika duniani tunapita.
 
Amevipiga vita mwendo amaeumaliza. Apumzike kwa amani najiulizaga maksudi ya Mungu kutuleta duniani afu anaturudisha ardhini anatutenganisha na wapendwa wetu jamani yalikuwa ni yapi😢😢😢😢😢

67:2 Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye ni Mwenye nguvu na Mwenye msamaha.

Lengo ndio hilo tujaribiwe tu nani kati yetu matendo yake mazuri na nani matendo yake maovu alafu atulipe kwayo.
 
View attachment 1895289
Basil Pesambili Mramba

Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered.

Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy.

We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage.

The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen.

Godfrey B. Mramba.
View attachment 1895304
Hongera zake kwa kula nyasi baada ya kujidai na ndege ya rais kwa hii miaka yote, atukuzwe mungu kwa maana alimjalia jeuri na kibri ya madaraka
 
Back
Top Bottom