Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Ile ndege yake ya kula nyasi hatuioni tena ikichana mawingu/anga. Ingeuzwa basi angalau tupate maji kushushia nyasi tulizo kula.
Tanzania tungekuwa na waandishi wa habari za kichunguzi wanaojielewa tungeshajua kwamba huyu alifikwa na umauti baada ya kusaini ile hati ya kujitoa muhanga au la? Hata hivyo media nayo ni kirusi kingine.
Maisha ya mwanadamu ni miaka 70 akiwa na nguvu 80 baada ya hapo ni mahangaiko.
Poleni wote, pumzika kwa amani rafiki na mwenza wa Mkapa.