TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

Ni Covid inahusika au ni magonjwa mengine?

Nakumbuka huyu ndie aliesema hata watanzania wakila nyasi ni lazima ndege ya Raisi inunuliwe.

Leo hii yeye na aliekuwa boss wake(Mzee Mkapa) wote hawapo.

Tuna mengi ya kujifunza katika hii dunia.

Poleni wafiwa.
Miaka aliyoishi inatosha 81 years old, ukizidi miaka hiyo unakuwa kero kwa família.
 
Enzi za Mwalimu, Ikitokea mtu amepatwa na umauti hakuna aliyesema mabaya yake, lakini Kuna kasumba imetukumba watanzania kusema ubaya wa marehemu.

Anyway I also know why its just an act of ignorance
Come on, watoto wanakaa chini ya miti kusoma shule shauri ya wanasiasa kula hizo hela. Lazima niseme, not scared of any imbecile, bring it on!
 
Nyasi alikula yeye mwenyewe pale Keko state lodge.
Halafu akafagia sana palestina hosp wakati aliowanunulia ndege wanakula Bata Lushoto na Masasi.
Karma is real.
Nasubiri hao mapadri wstakavyomwombea, may god take him to heaven, really Jamaa aliiba matrioni. Jela 2 years. Mimi nikichkua muhogo wa jirani ni 30 years. Kikwete should also be locked.
 
Miaka aliyoishi inatosha 81 years old, ukizidi miaka hiyo unakuwa kero kwa família.
Siasa bongo ni kutafuna hela za uma. Aliyetaka kuzuia hayo wameisha mwondoa bila huruma. Oo anaoumzika tu kumbe kisha kufa. Ona masafari, Leo burundi kesho Hungary kujitambulisha!
 
Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19.

Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest)

Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa viwanda, biashara na masoko
View attachment 1895289

Basil Pesambili Mramba

Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered.

Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy.

We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage.

The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen.

Godfrey B. Mramba.
View attachment 1895304
Chanjo imefanya yake mbona ukweli tuna ujua damu imeganda ndiyo inaleta huo mstuko
 
Mungu amsaidie awe alimkumbuke Mungu katika maisha yake, asije kuwa anakula manyasi huko. polen sana wafiwa.
 
Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19.

Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest)

Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa viwanda, biashara na masoko
View attachment 1895289

Basil Pesambili Mramba

Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered.

Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy.

We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage.

The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen.

Godfrey B. Mramba.
View attachment 1895304
Janga si mchezo kaiba fedha sana heri kaziacha. Mafisadi tieni ajili basi yona
 
Back
Top Bottom