Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Ndiyo huyu ndiye mzazi mwenzie na Anna, wale vijana wanasemwa wa Lupaso!Mama Anna mkapa pole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo huyu ndiye mzazi mwenzie na Anna, wale vijana wanasemwa wa Lupaso!Mama Anna mkapa pole.
Mzee umeandika vitu vizito vizito sana duhRIP Mramba.
Hata hivyo inasikitisha kuona kwamba kila anayekufa siku hizi eti amekufa kwa Corona,sio kweli.Ninachojua mimi ni kwamba vifo vingi siku hizi ni kwa sababu ya Cancers,HPP,Diabetes,Heart Diseases etc. ambazo zinakuwa exacerbated na air pollution in our enviroment and hence the pneumonic respiratory system symptoms.
Sijui kwa nini watu wanashindwa kuelewa kwamba in polluted enviroments tulizonazo sasa,ambazo actually ni deliberate,so as to commit genocide, older people will die first,because of weakened immune systems na weak lungs.Tuamke,tunalishwa matango mwitu!Hawa watu wana tuua halafu wana shift blame on us.
Look at what they are doing to our enviroment, halafu eti wanasingizia kuna Corona!Kwa wale ambao ni unsuspecting,their is geo-engineering going on and destroying our world and well being.Tuamke guys,we are at war,we are being targeted.
iStock
iStock. Die offizielle iStock-Website bietet Millionen exklusive, lizenzfreie Dateien. Um die perfekte Foto, Video oder Vektor finden, nach unserer Sammlung jetzt.www.istockphoto.com
These sprays have been analysed and have been confirmed to contain Aluminium,Mercury and Lead,metals which are very harmful to human health.The sprays have also been shown to have harmful Virus and Bacteria.
Kwanini tukimbiane tena!huku sio kwetu tumekuja field tu, huko ardhini napo sio kwetu itafika siku tutatoka tena na hapo tutakutana na wapendwa wetu wote kuanzia babu wa kwanza mpaka mjukuu wa mwisho....tatizo siku hiyo tutakimbiana tena badala ya kukutana kwa furaha..
Kwa hiyo cardiac arrest ndio uviko-19 tena, mbona sasa mnatuchanganya?Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19.
Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest)
Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa viwanda, biashara na masoko
View attachment 1895289
Basil Pesambili Mramba
Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered.
Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy.
We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage.
The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen.
Godfrey B. Mramba
======
Huyu ndiye Basil Pesambili Mramba
Waziri wa zamani, Basil Mramba amefariki dunia leo Jumanne Agosti 17, 2021 kwa ugonjwa wa UVIKO-19.
Akiwa ni mmoja wa mawaziri waliowahi kufungwa kwa makosa waliyoyafanya wakati wakiwa kwenye nafasi zao za uongozi.
Mramba ambaye amewahi kufungwa miaka mitatu kwa matumizi mabaya ya madaraka alizaliwa mwaka 1940 alijiunga na Chuo Kikuu cha Makerere kilichopo Uganda na kupata shahada ya kwanza na baadaye alijiunga na Chuo Kikuu cha City London kilichopo Uingereza na kupata Shahada ya Uzamili katika Biashara.
Amefanya kazi Serikalini katika nyadhifa mbalimbali. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Rombo kabla ya kuteuliwa kuwa waziri.
Mwaka 2006, Mramba aliteuliwa na Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, nafasi ambayo aliitumikia hadi mwaka 2008 ambapo alibaki kuwa mbunge wa kawaida.
Julai 7, 2015, Mramba na Yona walihukumiwa kila mmoja kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya Sh5 milioni baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya Sh11.5 bilioni.
Kesi yao ilitokana na makosa waliyofanya wakati Mramba akiwa Waziri wa Fedha na Yona akiwa Waziri wa Nishati na Madini.
Hata hivyo, Februari 6, 2016, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliwabadilishia adhabu viongozi hao wastaafu na kuwa kifungo cha nje wakiwa tayari wametumikia miezi saba gerezani.
Katika kutekeleza adhabu hiyo, viongozi hao walitakiwa kuripoti na kufanya usafi katika Hospitali ya Sinza – Palestina kila siku siku asubuhi kwa miezi tisa. Walitekeleza adhabu hiyo mpaka walipokamilisha Novemba 5, 2016.
Tangu walipomaliza adhabu hiyo, Mramba hakuonekana hadharani kama ilivyo kwa wastaafu wengine maarufu. Amekuwa kimya kwa kipindi kirefu mpaka alipofariki leo Agosti 17 katika hospitali ya Regency kutokana na maradhi ya UVIKO-19.
kwasababu ya kila mmoja kutotekeleza wajibu wake kwa mwenzie..Kwanini tukimbiane tena!
Asante kwa maelezo yako, ingawa naamini kubwa zaidi ni hatima yetu kwa sisi kutotimiza wajibu wetu kwa mujibu ya malengo ya kuumbwa kwetu na Mungu.kwasababu ya kila mmoja kutotekeleza wajibu wake kwa mwenzie..
baba kwa mtoto, mtoto kwa baba, mume kwa mke, mke kwa mume so kila mmoja atataka kuokoka kwa kumuangushia msala mwenzake..
hapo ndo kukimbiana kunakuja..
Haya ni mawazo ya kikomunisti. Wakomunisti ndiyo huwa wanapenda kuamua ni miaka mingapi inakutosha hapa duniani utafikiri wao ndiyo Mungu. Mkomunisti mawazo yake ni kuingilia maisha ya watu, kazi wa watu, vipato vya watu, mali za watu, afya za watu, na mengine mengi. Miaka 81 wala siyo mingi kwa dunia ya leo. Kuna viongozi wa nchi hapa duniani wenye umri zaidi kwa mfano Rais wa Lebanon Michel Aoun, miaka 87. Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas, miaka 85 wote bado wanadunda.Miaka aliyoishi inatosha 81 years old, ukizidi miaka hiyo unakuwa kero kwa família.
Kulimbikiza mali ni kuukimbiza upepo,unawaandalia watoto mali utadhani nawe uliandaliwa,then ukifa wanatapanya sababu ilikuja kwa haramu kuiba kodi za wananchi, watawala wa kizungu uandaa maisha ya Jamii nzima itanufaika ikiwemo vitukuu vyao.Dunia tunapita tu, tuache tamaa ya kujilimbikizia mali kwa njia haramu na kuheshimu watu wa kawaida. Nakumbuka alisema hata ikibidi tule nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe.