Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Kama unabisha sawaAcha kutoa taarifa za kijinga chanjo alipata lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unabisha sawaAcha kutoa taarifa za kijinga chanjo alipata lini?
Mimi pia nlidhan hayupo. Hivi huyu si aliwah kupata hukumu ya nje auHuyu mzee kumbe alikuwa bado yupo? Apumzike kwa Aman
Hahahaa!!!Nimependa hayo maneno ya mwanaye, aisee wakuu tusomeshe watoto wetu waje watuenzi vizuri, RIP.
Vipi tajiri mbona unanicheka?Hahahaa!!!
Nilikuwa nakutanana asubuhi huku Masaki akifanya mazoezi sikutegemea kama ana umri mkubwa hiviKumbe Mramba alikuwa amekula chumvi kiasi hicho?
Apumzike kwa amani.
Inaonekana alijitunza vizuri sana.Nilikuwa nakutanana asubuhi huku Masaki akifanya mazoezi sikutegemea kama ana umri mkubwa hivi
Bogus kabisa huyu sio kisiasa Wala kiuchumi, alikua anabebwa tu na che Nkapa. Warombo wenyewe walishamkataaga kwa matusi yake. Kule Mbeya alikokua mkuu wa mkoa alifanya Nini? Kwanza hakusoma uchumi na alikua haujui.Ndiyo waziri pekee wa feza aliyejua nini maana ya mfumuko wa bei na athari zake kwa watu masikini hadi aliushusha chini na haijawi tokea tena.dalada nauli sh.100 miaka 10.
Alikula sana maharage ya serikali pale state lodge keko kabla ya kujihusisha na shughuli za usafi wa vyoo hospitali moja maarufu Sinza.Mimi pia nlidhan hayupo. Hivi huyu si aliwah kupata hukumu ya nje au
Ndiyo waziri pekee wa feza aliyejua nini maana ya mfumuko wa bei na athari zake kwa watu masikini hadi aliushusha chini na haijawi tokea tena.dalada nauli sh.100 miaka 10.
Anaweza kua kafanya mazuri mengi Ila hili la b11...Ndiye aliyeanzisha SIDO.
..aliongoza mchakato wa kuanzisha TRA.
..akiwa Waziri wa Fedha alihitimisha mchakato wa Tanzania kuingia ktk mpango wa World Bank na IMF kusamehewa madeni.
..baada ya kusamehewa madeni ndipo serikali ilipopata uwezo wa kugharimia miradi mingi ya maendeleo ktk awamu za 4 na 5.
..alipatikana na HATIA ktk kesi ya matumizi mabaya ya madaraka kwa kusamehe kodi ya shillingi BILLIONI 11.
CC Mlachake
Anaweza kua kafanya mazuri mengi Ila hili la b11.
Mbaya zaidi mahakama ili prove kwamba alikwapua.
RIP Mramba.Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19.
Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest)
Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa viwanda, biashara na masoko
View attachment 1895289
Basil Pesambili Mramba
Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered.
Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy.
We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage.
The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen.
Godfrey B. Mramba