TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

Ni Covid inahusika au ni magonjwa mengine?

Nakumbuka huyu ndie aliesema hata watanzania wakila nyasi ni lazima ndege ya Raisi inunuliwe...
Kujifunza mmejifunza mengi na mmefundishwa mengi ,shida ni kuishi au kutendea kazi kile ulichojifunza.
 
Dar es Salaam.

Aliyekuwa Waziri wa Fedha katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Basil Mramba amefariki dunia leo Jumanne Agosti 17, 2021 jijini Dar es Salaam kwa ugonjwa wa Uviko-19 (corona).

Taarifa iliyotolewa na mwanaye, Godfrey Mramba imeeleza kuwa baba yake amekutwa na umauti leo asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Regency.

"Mzee amezaliwa Mei 15, 1940, amefariki mapema leo Agosti 17, ameugua pale Regency Medical Center muda wa wiki mbili, amepata maradhi ya Covid 19 akipoteza leo, tunamshukuru Mungu kwa maisha yake na tutayasherehekea," alisema Godfrey alipozungumza na Mwananchi kwa simu.
 
Mume mwenzie alimpa uwaziri wa fedha na yeye akamnunulia ndege yenye gym ndani.
Nakumbuka siku moja Profesa Lipumba akihojiwa na chombo kimoja cha habari akiielezea hiyo ndege alisema.... "Tunaambiwa sifa kuu ya ndege hiyo, ina chumba cha kufanyia mazoezi. Rais wetu, amechoka kufanyia mazoezi ardhini. Hivyo, ukiiona ndege ipo angani, na Mkapa yupo ndani, basi ujue, Rais wetu yupo busy, anafanya mazoezi!"
 
Nakumbuka siku moja Profesa Lipumba akihojiwa na chombo kimoja cha habari akiielezea hiyo ndege alisema.... "Tunaambiwa sifa kuu ya ndege hiyo, ina chumba cha kufanyia mazoezi. Rais wetu, amechoka kufanyia mazoezi ardhini. Hivyo, ukiiona ndege ipo angani, na Mkapa yupo ndani, basi ujue, Rais wetu yupo busy, anafanya mazoezi....!"
Ha ha ha Africa ni shamba la bibi.
 
Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19.

Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest)

Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa viwanda, biashara na masoko
View attachment 1895289

Basil Pesambili Mramba

Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered.

Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy.

We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage.

The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen.

Godfrey B. Mramba.
View attachment 1895304
Rip Basil. Yuendelee kumkumbuka kwa kupata chanjo "wajameni".
 
Huyu jamaa alichota mabillioni akiwa waziri. Akafungwa 2 years only. Yakikuwa matriloni enzi za Kijwete. Walikuwa wanachota tu wanavyopenda. Ni Kama sasa hivi chini ya Samia.
Rip Basil. Yuendelee kumkumbuka kwa kupata chanjo "wajameni".
Yeye na Yona waliiba matrilioni ya serikali na akafungwa. Rip Basil. Yuendelee kumkumbuka kwa kupata chanjo "wajameni".
 
Enzi za Mwalimu, Ikitokea mtu amepatwa na umauti hakuna aliyesema mabaya yake, lakini Kuna kasumba imetukumba watanzania kusema ubaya wa marehemu.

Anyway I also know why its just an act of ignorance
 
Back
Top Bottom