TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

RIP Babu..
 
The old man was not in his best mental faculties alipooa ile totoz...

I knew the old man was on the sky...

I feel sorry for his passing,until we see each other again in the new life
Nilitaka kuuliza ndie alieoa dogodogo juzi? . Asante Kwa maelezo Mambo mengine bwana roho inatamani lakini nguvu hamna.
 
Huyu si kaoa mrembo juzi tu? Watu walimsifia kweli ila mimi nikasema kuoa na uzee ule tena bint mrembo mwenye makalio makubwa ni kama kusogeza tatizo karibu 😊😊

Hivi kuna hata mwezi tangu avute hii chombo?
 
Pole kwa familia msiba mkubwa na hasa kwa mjane aliyemwacha Mungu awe mfariji wake. Amen !
 
RIP Mbunge wangu wa zamani.Amina.
 
Huyu si kaoa mrembo juzi tu? Watu walimsifia kweli ila mimi nikasema kuoa na uzee ule tena bint mrembo mwenye makalio makubwa ni kama kusogeza tatizo karibu [emoji4][emoji4]

Hivi kuna hata mwezi tangu avute hii chombo?
View attachment 1653920
Hapo usikute kabinti kameshafanya yake kubadili baadhi ya hati za Mali kama ilivyokuwa kwa Mzee machache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…