Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Mambo ya viagra hayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu ndie alieoa binti juzi kati hapa?The old man was not in his best mental faculties alipooa ile totoz...
I knew the old man was on the sky...
I feel sorry for his passing,until we see each other again in the new life
Hicho sio kiarabu nduguInnailah wa innailah rajiun
kihabeshi au?😆😆Hicho sio kiarabu ndugu
Tatizo lilianzia hapa.Eti gari mbovu hukokotwa na gari nzima.
Ina maana hakuona maveterani wenzake? Na hapo kwenda sawa lazima booster itumikeWazee hawa wastaafu wanapoamua kuoa watoto wadogo sawa na wajukuu zao au watoto wao ni ishara kuwa anakaribia kifo....
Ushaona fursa tayari hapo.Jamani mwenye namba za mjana(?mke wa marehemu)nataka niongee nae machache ya kumfariji
Mke mpya amemuachia nani?Mbunge wa zamani wa jimbo la Maswa pia aliwahi kuwa Waziri, Dkt Pius Ng'wandu amefariki dunia.
Amefariki Usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi.
Alikimbizwa jana katika Hospitali hiyo baada ya kupata matatizo ya presha.
Mungu amlaze Mahali pema Peponi.
Dr. Pius Yasebasi Ng’wandu aliwahi kuwa balozi wa Japan Tokyo 1990 hadi 1993
Waziri wa Sayansi na Teknologia mwaka 2000 hadi 2008
View attachment 1653866
Balozi Pius Yasebasi Ng'wandu enzi za uhai wake
juzi mlipoleta uzi kwamba mzee kaoa toto dogo nikajua tu ameoa Mchaga leo ndio nimeamini alioa mmachame.Huyu si kaoa mrembo juzi tu? Watu walimsifia kweli ila mimi nikasema kuoa na uzee ule tena bint mrembo mwenye makalio makubwa ni kama kusogeza tatizo karibu 😊😊
Hivi kuna hata mwezi tangu avute hii chombo?
View attachment 1653920
mwanadamu ukiwa unahema hewa ya bure na jeuri ya pesa na mamlaka huwezi kuyakumbuka haya.tutende mema maana hatujui muda na saa ya kufa, usimfanyie binaadamu mwenzio mambo yasiyo faaa. tuishi kwa upendo majumbani, makazini n.k
Kumbe ni mmachame?juzi mlipoleta uzi kwamba mzee kaoa toto dogo nikajua tu ameoa Mchaga leo ndio nimeamini alioa mmachame.
Ameshindwa kjifunza kwa R.Mengi.
Rest in Peace mzee hakika umeumaliza mwendo.🙏🙏🙏
Kwa ujana ule wa mke wakle, nilijua tu. daaaaahPole kwanza mkuu;Mengine baadae..
Sleep well mzee wetu
Innalillah wa innaIllahii rajiuuun..!Innailah wa innailah rajiun
HahahahahaaKafa tu we humuoni kama umri umekwenda sema shida ni kafa akiwa katoka kufunga ndoa na kijana
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (bro umeshindwa hata kugoogle)Innailah wa innailah rajiun