TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

Mbunge wa zamani wa jimbo la Maswa pia aliwahi kuwa Waziri, Dkt Pius Ng'wandu amefariki dunia.

Amefariki Usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Somanda mjini Bariadi.

Alikimbizwa jana katika Hospitali hiyo baada ya kupata matatizo ya presha.

Mungu amlaze Mahali pema Peponi.

Dr. Pius Yasebasi Ng’wandu aliwahi kuwa balozi wa Japan Tokyo 1990 hadi 1993

Waziri wa Sayansi na Teknologia mwaka 2000 hadi 2008

View attachment 1653866
Balozi Pius Yasebasi Ng'wandu enzi za uhai wake
Kafa akiwa "honey moon" na "inasemekeana VIII-AA-GRAAA" ndiyo chanzo.
We tangu lini "gari bovu ikavuta gari mpya"?

Mtoto wa watu "kabaki mjane anaenda kutakaswa kama mila itakavyo then wengine wanagegeda kama kawaida"
 
Kweli yani na ujanja wote umetoka vitani una mbinu zote za kijeshi na kippolisi, umekwepa mpaka risasi kwenye frontline, ila unakuja kutulizwa unakufa ukiwa kichwa kimelazwa mapajani. Wanawake ni silaha moja hatari zaidi ya nuclear bomb.
Ndio maana waliweza kuongea na nyoka na kuelewana bila shaka yoyote
 
Huyu si kaoa mrembo juzi tu? Watu walimsifia kweli ila mimi nikasema kuoa na uzee ule tena bint mrembo mwenye makalio makubwa ni kama kusogeza tatizo karibu [emoji4][emoji4]

Hivi kuna hata mwezi tangu avute hii chombo?
View attachment 1653920
Hilo tacle hilo!sidhani kama lingeweza kuvumilia nd'onga legelege ya kizee....sema tamaa za kifwedha ndo zinafanya mtu anakubali kuingia ndoanoni alafu mwisho wa siku matatizo ni kwa mzee....RIP mzee.
 
Kuna mzee mwingine kule singida alifwariki gest baada ya kutumia dawa ya kuongeza nguvu za kiume iliyomsababishia presha na kupelekea mzee kufwa
 
RIP mzee wetu, pressure haina adabu
 

Attachments

  • Screenshot_20201219_133851.jpg
    Screenshot_20201219_133851.jpg
    43.9 KB · Views: 4
  • IMG-20201219-WA0024.jpg
    IMG-20201219-WA0024.jpg
    81.8 KB · Views: 4
  • IMG-20201219-WA0030.jpg
    IMG-20201219-WA0030.jpg
    93.5 KB · Views: 4
Namkumbuka mzee wakati naingia mlimani alikuwa waziri wa sayansi na elimu ya juu. Alibanwa na zitto zitto akihudumu kama waziri mkuu wa UDSA alimuhenyesha sana juu ya sakata la wanafunzi 203 waliokosa uzamini wakitokea department ya sociology. Mwisho wa siku walipata mkopo. Hahahah zitto bwana
Wewe ni kilaz.a sana kwanza hakuna mtu alikuwa anaitwa zitto zitto bali alikuwa ni ZITTO KABWE,pia hakuwa Waziri Mkuu bali Katibu Mkuu na pia hakuna kitu kilikuwa kinaitwa UDSA bali ni DARUSO (Dar es Salaam University Students Organization).
Hata wale wanafunzi waliokosa mikopo na baadaye wakapewa hawakuwa 203 bali walikuwa 603.
Watu wengine mbona mko weupe sana vichwani,hivi maisha mnatoboaje?!!!!
 
Kafa tu we humuoni kama umri umekwenda sema shida ni kafa akiwa katoka kufunga ndoa na kijana

Nilitaka kuuliza ndie alieoa dogodogo juzi? . Asante Kwa maelezo Mambo mengine bwana roho inatamani lakini nguvu hamna.
Inawezekana Dr.alipiga ile kitu inaongeza nguvu kazi.....!!!
 

Attachments

  • IMG-20201219-WA0003.jpg
    IMG-20201219-WA0003.jpg
    29.7 KB · Views: 4
  • IMG-20201219-WA0002.jpg
    IMG-20201219-WA0002.jpg
    65.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom