DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
: Katibu mtendaji wa chama cha PPRD cha rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila, Emmanuel Ramazani Shadary amekamatwa jijini Kinshasa.
Taarifa ya chama cha PPRD imesema kukamatwa kwa Shadary na upekuzi wa usiku kwenye makao makao makuu ya chama ‘‘vinatia wasiwasi mkubwa‘‘.
Shadary, aliyewahi kuwa makamu wa Waziri Mkuu na waziri wa mambo ya ndani na mgombea urais mwaka 2018, alikamatwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana na hadi sasa mahali alipo haijafahamika, kwa mujibu wa familia yake. Kukamatwa kwake kunatokea katika mazingira ya kisiasa yenye mvutano, takribani miezi mitatu baada ya kiongozi wa chama hicho na rais wa zamani Joseph Kabila kuhukumiwa adhabu ya kifo.
Chanzo: DW