Ongeza nyama mkuu tafadhalibado mapolisi wanaotokea mkoa wa kigoma tanzania
Rwanda inataka kuonesha EAC na Africa kuwa ni US pekee ndio anaeza kumtuliza na si mwingineYale makubaliano walifanya juzi kule USA kuna upande mmoja ulikuwa kama unaburutwa hivi, bado kuna mengi yata jitokeza.
Kabisaa jeuri ya juu sana hii na hakuna wakumsemesha wala kumuuliza zaidi ya hao wakubwa.Rwanda inataka kuonesha EAC na Africa kuwa ni US pekee ndio anaeza kumtuliza na si mwingine