Waziri wa Zamani wa Msumbiji afungwa miaka 16 kwa ufisadi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Maria-Helena-Taipo-para-Embaixada-de-Moçambique-em-Angola.jpg

Aliyekuwa Waziri wa Kazi wa Msumbiji Maria Helena Taipo amehukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya rushwa, yanayohusisha kujipatia fedha zaidi ya Tsh. Bilioni 3.96 sawa na Dola za Marekani Milioni 1.7 kutoka katika fedha za Umma kati ya mwaka 2014-2015.

Maria pamoja na maafisa wengine wa Serikali walisomewa mashtaka ya utakatishaji fedha, uvunjaji wa uaminifu, matumizi mabaya ya madaraka, kujihusisha kiuchumi katika biashara na kughushi nyaraka.

---

Mozambique's former Labour Minister Maria Helena Taipo has been sentenced to 16 years in prison for corruption charges, involving the diversion of more than $1.7m (£1.4m) from government funds.

Other government officials were sentenced alongside her.

The defendants were charged with the crimes of embezzlement, breach of trust, abuse of power, economic participation in business and forgery of documents.

The crimes were committed between 2014 and 2015.

The money that was stolen was used to, among other things, purchase 50 bicycles, the construction of a house, parties and end-of-the-year hampers.

Source: BBC
 
Du...sasa Sa100 sindiyo atanyongwa kabisa maana hadi afikishe 2025 nchi itakuwa shimoni kwa ufisadi maana ..kautakasa ufisadi sasa hivi mafisadi ndiyo makomredi
 
Back
Top Bottom