Waziri Zambia ajiuzulu baada ya video inayomuonesha akipokea rushwa kusambaa. Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya Taifa!

100 others

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
4,766
Reaction score
16,191

Stanley Kakubo ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa Zambia amejiuzulu baada ya video inayoonyesha yeye na mfanyabiashara wa Kichina wakikabidhiana vibunda ambapo inasemekana ni US dollars na Zambian kwacha.


View: https://streamable.com/m1vwpu

Inasemekana jamaa alikuwa anapokea mlungula kutoka kwa mfanyabiashara huyo wa ki China ambae anajihusisha na biashara za madini.

Kakubo ambae inasemekana tayari alishakuwa na scandal ya kuonekana akitoka nje ya ofisi ya kampuni ya Kichina inayohusika na utengenezaji wa cement akiwa na briefcase, inasemekana jamaa alikuwa ametoka kupata mlungula.

Kakubo amejitetea kwa kusema ilikuwa ni biashara ya kifamilia ikifanyika. Lakini Mr Hichilema amekubali Kakubo kujiuzulu.

Aisee watu wanakula maisha, vile vibunda si chini ya milioni 400 Tshs. Watu wanakula maisha jamani.

Mafisadi kumbe ndivyo namna wanakula keki ya taifa namna hii.
 

Aje Tanzania agombee kupitia CCM, kitita atapata na uwaziri wake utapongezwa na kupe Lucas Mwashambwa.
 

Mchina ndio kavujisha hiyo video😂
 

Ndio maana unaona uchaguzi ukifika ukikaa vibaya ccm wanakutoa hado roho unakufa kabisa filia mbali

😆😆😆
 
Bora huyo amejiuzuru nafasi yake, huku kwetu kwenye zile fedha za Tegeta Escrow Viongozi waliishia kusema ni hela za Mboga tu 🙌
 

Huyu jamaa ni mashamba sana unaazaje kupokea maburungutu ya fedha wakati kuna electronic system za kutuma pesa
 

Bongo wahindi walisha wafanyia Sana mawaziri toka enzi za Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…