T Tuta Absoluta Kantangaze Member Joined Nov 2, 2023 Posts 83 Reaction score 251 May 6, 2024 #21 AJE AJIUNGE NA CCM
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 May 6, 2024 #22 Mchina kafanya yake
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 May 6, 2024 #23 zithromax said: Huyu jamaa ni mashamba sana unaazaje kupokea maburungutu ya fedha wakati kuna electronic system za kutuma pesa Click to expand... Kwa cheo chake, kupokea kiasi kikubwa cha pesa kwa e systems ni hatari kuliko hiyo aliyotumia. Huoni escrow mtandao ulivyokua unadakwa kirahisi kwa kuingizia pesa kwenye accounts zao. Ukiwa mpigaji ni mwendo wa cash,
zithromax said: Huyu jamaa ni mashamba sana unaazaje kupokea maburungutu ya fedha wakati kuna electronic system za kutuma pesa Click to expand... Kwa cheo chake, kupokea kiasi kikubwa cha pesa kwa e systems ni hatari kuliko hiyo aliyotumia. Huoni escrow mtandao ulivyokua unadakwa kirahisi kwa kuingizia pesa kwenye accounts zao. Ukiwa mpigaji ni mwendo wa cash,
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 May 6, 2024 #24 Mnashangaa Zambia.wakati Tanganyika hii wamejaa kama uyo waziri w zmb. Daaah hii Tanganyika asinge jiuzulu kabisaa. KAZI ni kipimo cha UTU
Mnashangaa Zambia.wakati Tanganyika hii wamejaa kama uyo waziri w zmb. Daaah hii Tanganyika asinge jiuzulu kabisaa. KAZI ni kipimo cha UTU
Z zithromax JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 7,482 Reaction score 7,957 May 6, 2024 #25 Vishu Mtata said: Kwa cheo chake, kupokea kiasi kikubwa cha pesa kwa e systems ni hatari kuliko hiyo aliyotumia. Huoni escrow mtandao ulivyokua unadakwa kirahisi kwa kuingizia pesa kwenye accounts zao. Ukiwa mpigaji ni mwendo wa cash, Click to expand... Si zinaweza kugawanya hata kwa jamaa na marafiki na ndugu.. mpaka mzigo wote uishe halafu kww dunia ya,tatu sio issue sana labda huko majuu
Vishu Mtata said: Kwa cheo chake, kupokea kiasi kikubwa cha pesa kwa e systems ni hatari kuliko hiyo aliyotumia. Huoni escrow mtandao ulivyokua unadakwa kirahisi kwa kuingizia pesa kwenye accounts zao. Ukiwa mpigaji ni mwendo wa cash, Click to expand... Si zinaweza kugawanya hata kwa jamaa na marafiki na ndugu.. mpaka mzigo wote uishe halafu kww dunia ya,tatu sio issue sana labda huko majuu
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 May 6, 2024 #26 zithromax said: Si zinaweza kugawanya hata kwa jamaa na marafiki na ndugu.. mpaka mzigo wote uishe halafu kww dunia ya,tatu sio issue sana labda huko majuu Click to expand... Yaani umpe rafiki 100M akushikie, we jamaa yaani we mchizi wako adeposit 100M utiacha salama wewe??
zithromax said: Si zinaweza kugawanya hata kwa jamaa na marafiki na ndugu.. mpaka mzigo wote uishe halafu kww dunia ya,tatu sio issue sana labda huko majuu Click to expand... Yaani umpe rafiki 100M akushikie, we jamaa yaani we mchizi wako adeposit 100M utiacha salama wewe??