Waziri Zungu: Mitumba inachafua mazingira

Hivi Zungu Anafikiri kwamba huko kijijini nako kuna maduka ya nguo kila kona kama ilivyo Kariakoo?

Ifike mahala viongozi wafikirie kimapana wasifikirie kama wako kwenye chupa kwamba Tanzania nzima iko kama dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikoani %kubwa wanavaa nguo mpya mitumba iko Dar
 
Magufuli bana...asa huyu Zungu kazeeka ana randuka hata kwenye picha ana jipya gani la kuleta kwenye the so called tanzania ya viwanda?
Kibabu kina 63....huko aisee badala alee wajukuu zake
 
Tatizo letu Watanzania ni wavivu sana sana kufanya uchunguzi mpaka inatia hasira. Waziri anazungumza hata bila kujua anachosema. Jeans moja inachukua maji galoni 7600 kumwagilia pamba. Sasa ni maji kiasi gani yatatumia kama kila mtu atakuwa na jeans tatu tu jiulize. Hiyo ni fact moja tu unaweza ku google. Tutafute sababu nyingine lakini sio hii. Lakini vilevile tuimize watu wasiwe na nguo ambazo hawazivai
 
Viongozi wetu walio wengi wanapopata nafasi wanakuja na maneno mengi mazuri lakini wanapoanza majukumu yao wanageuka kama siyo wao
 
Hawa watu wakuja wasio na asili ya nchi hii wanajiona exceptional sana wakati ni watu bogus tu.

Sijui hao wanaowaibia kura zao kila uchaguzi ukiwadia wanafikiri wana uwezo gani wa kumudu kununua hizo nguo ready made wakati sera zao feki ndio zimechangia kuwafukarisha. Huyu muhindi ni bure kabisa.
 
Anza kupiga marufuku magari ya mitumba kwanza, tuwe na magari mapya tu. Kitu cha mwisho kabisa baada ya miaka na miaka iwe mitumba ya mavazi ila tubaki na mitumba ya wake na waume, ukimchoka namchukua mimi.
 
Hamkumwelewa waziri zungu hakusema uvaaji wamitumba unachafua mazingira ila uuzaji horera wa kutundika nguo hadi kwenye miti mabarabarani ndiyo uchafuzi wa mazingira aliosema waziri Zungu wekeni nguo zenu madukani tuje kununua kama ilivyo Dubai
 
aisee, wakati nimetoka majuu nilikuwa najifanya mjanja kuhusu mitumba, sasa kila nikivunja kabati nakutana na msela amevaa kiatu kikali kinoma, ukiuliza amenunua wapi anakuambia ni mtumba wa elf 10/15. (kwa wadau wa AR watajua viatu vinapatikana wapi mm nimesahau jina)
kwa ss nshaacha huo ijinga wa kununua kiatu cha 50/80 halafu kinakuwa cha kawaida kbsaaa. nikitaka kiatu nashuka chimbo la AR/Moshi.
 
Hamkumwelewa waziri zungu hakusema uvaaji wamitumba unachafua mazingira ila uuzaji horera wa kutundika nguo hadi kwenye miti mabarabarani ndiyo uchafuzi wa mazingira aliosema waziri Zungu wekeni nguo zenu madukani tuje kununua kama ilivyo Dubai
Aliyeshiba anajua kila mtu amefika Dubai!
 
Tunaomba atuwezeshe sasa sehemu za kufanyia hiyo biashara Kama dubai
Hamkumwelewa waziri zungu hakusema uvaaji wamitumba unachafua mazingira ila uuzaji horera wa kutundika nguo hadi kwenye miti mabarabarani ndiyo uchafuzi wa mazingira aliosema waziri Zungu wekeni nguo zenu madukani tuje kununua kama ilivyo Dubai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hicho kiatu cha dukani kuna sehemu ukifika mnajikuta mmekivaa zaidi ya watu 20 hivi, hasa mwisho wa mwezi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…