Na wenyewe mitumba wanaipenda ujue!!!!Kwa wale wana siasa wa kweli lkn wale wa ulipo tupo usitehemee kulikemea hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wenyewe mitumba wanaipenda ujue!!!!Kwa wale wana siasa wa kweli lkn wale wa ulipo tupo usitehemee kulikemea hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wao A.Mwinyi na Mkewe asubuhi mara nyingi anapiga zoezi ile barabara ya Mwai Kibaki na Mwanae huyu pia H.Mwinyi na Mkewe wanapiga jogging asubuhi safi kabisa unaweza kuwapita hata usijue kuwa ni wao,jamaa wana maisha simple mnooo.
Natamani 2025 ashike JMT.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wenyewe mitumba wanaipenda ujue!!!!
Ukitaka kujua ubaya wa nguo za dukani nenda benki siku ya mshahara uwafaidi walimu wapyaWakizuia mitumba tutao teseka ni sisi ambao hatupendi kuvaa sare sare.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa naona zungu ni mtu wa heshima kumbe ndio hivyo mpeni pole Kama ndio fikira zake zimeishia hapo
Ni Kama umepewa pepo la ujinga na kuabuduna kusifia saa zote
Hana jeuri ya kuzuia mitumba, kwa uchumi gani huuu wa kuzuia mitumba. Tutavaa nn? Alafu wapiga kura wake ni wauza mitumba, yeye ni muhusika wa bihashara za mitumba na Serikali inanufaika kwa mitumba, ingawa ndio ivyo kiuchumi inaharibu mzunguko wa viwanda vya kutengeneza nguoNikushukuru sana Rais kwa kuniamini na kuniteua kuwa Waziri, wakati nakuja Watu waliniuliza utavaa nguo zako za mitumba au utavaa kitu kipya, lakini leo nimetia suti mpya, maana hata hiyo mitumba ni sehemu ya mazingira na ni sehemu ambayo inachafua hadhi ya Nchi yetu.
Rais Magufuli umefanikiwa sana kupiga vita mifuko ya Plastic, lakini sasa mifuko hiyo inarudi kwa njia za pembeni, vifungashio (packages) sasa vinaboreshwa na Watu wanabebea vitu na kuharibu mazingira, watu wa NEMC tuulize kwanini vitu hivi viko mitaani, nitalifanyia kazi.
Kwa Watu wa Wizarani (Muungano na Mazingira) urafiki upo lakini kwenye kazi za Umma hatutofanya urafiki, tukikutana nje ya kazi za Umma tutaendelea na Urafiki wetu.
Amakweli mwenye shibe kamwe hamjui mwenye njaaa sasa tusubiri mapya ya kupiga marufuku mitumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsahau Zhakia meghji
basi sawa.....