Waziri Zungu: Mitumba inachafua mazingira

Ili mparue vizuri kodi zetu?,haiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa naona zungu ni mtu wa heshima kumbe ndio hivyo mpeni pole Kama ndio fikira zake zimeishia hapo
 
Yaan zungu wa kariakoo huyu jmn leo hatak mitumba daa

from mudi kidato
 
Mitumba haiharibu mazingira, bali inasaidia mazingira..., kivipi utauliza.., jibu ni recycling...

Utengenezaji wa nguo mpya na fashion industry ndio inaharibu mazingira, kuanzia kilimo, mbolea, matumizi ya maji na fast fashion watu kununua nguo na kuzivaa muda mchache na kuzi-dispose
 
Hana jeuri ya kuzuia mitumba, kwa uchumi gani huuu wa kuzuia mitumba. Tutavaa nn? Alafu wapiga kura wake ni wauza mitumba, yeye ni muhusika wa bihashara za mitumba na Serikali inanufaika kwa mitumba, ingawa ndio ivyo kiuchumi inaharibu mzunguko wa viwanda vya kutengeneza nguo
Ni sawa na kuacha kulima tumbaku kwa kuwa inaleta kansa, jibu ni hapana uwezi acha kuuza sigara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jameni hebu tuwe wakweli kasema hayo wapi mana kasema tu hajavaa mitumba na kweli chupi, skin tight, sidiria na hata maboxer ya mitumba dunia nzima inayakataa kwasababu ya magonjwa mbalimbali..Msishupalie jambo hili na kuleta hoja za wanyonge..Unyonge sio sifa ya kuishi nayo..

Zungu lao atapiga kazi vizuri tumpe muda..atatue majungu na kero kwanza kule ofisini .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…