Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Inasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem.
Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones, yaani maeneo ya viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa ajili ya kuexport, na kisha tukavipatia viwanda hivyo umeme wa bure au kwa labda 20% ya bei ili kuchochea uchumi. Viwanda hivyo vitazalisha ajira na pia vitaleta fedha za kigeni kwa nchi.
Maana utamuuzia mwingine umeme, atautumia kuzalisha bidhaa na kuja kukuuizia wewe mwenyewe. Akipata faida na kuzalisha ajira kwa watu wake.