Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unavyonunua umeme kwa Tsh hiyo hela haiendi kulipa deni la umeme sababu madeni ya nje hayalipwi kwa Tsh. Mwenye kiwanda kwenye EPZ anazalisha kitu na kwenda kuuza nje ya nchi na kuingizia nchi pesa za kigeni, dolari. Hizo ndizo zinaweza tumika kulipa madeni.Mleta mada akili huna kabisa hiyo mikopo tuliyokopa yenye riba kujenga hilo bwawa la umeme la Nyerere atalipa baba yako? Tukitoa umeme bure?
Na hiyo mikopo.ya pesa za kigeni yenye riba toka mabenki ya kimataifa utalipia nini ukitoa bure? Au bei ndogo sanaKuvutia uwekezaji. Wengi ili kuwekeza kwenye viwanda wanahitaji umeme wa uhakika na wa bei cheap.
Haya maneno ameongea mfanyakazi anayelipwa mshahara na serikali ya CCM?kama ndivyo hizo ni ndoto za alinacha.Inadaiwa matumizi yetu ni 1800MW. Na uzalishaji utafika 3000+. Hivyo tutakuwa na ziada 1200 walizopanga kuuza nje.
Nimekosa imoji ya solut ila pokea ha hiiđź’ŞInasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem.
Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones, yaani maeneo ya viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa ajili ya kuexport, na kisha tukavipatia viwanda hivyo umeme wa bure au kwa labda 20% ya bei ili kuchochea uchumi. Viwanda hivyo vitazalisha ajira na pia vitaleta fedha za kigeni kwa nchi.
Maana utamuuzia mwingine umeme, atautumia kuzalisha bidhaa na kuja kukuuizia wewe mwenyewe. Akipata faida na kuzalisha ajira kwa watu wake.
Si wanadai kuna matengenezo vituo viweze kupokea umeme mkubwa.Hapo juu mleta mada nilikuuliza kama utani umeme unaotumia nyumbani kwako kama umetosha imekuwa kama laana nimeingia mtaani kwangu huku Mbezi shamba nasikia waliondoka nao toka saa moja kasoro hali ni kama unavyoona View attachment 3258800View attachment 3258801
Chakadomoz mko shallow sanaInasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem.
Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones, yaani maeneo ya viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa ajili ya kuexport, na kisha tukavipatia viwanda hivyo umeme wa bure au kwa labda 20% ya bei ili kuchochea uchumi. Viwanda hivyo vitazalisha ajira na pia vitaleta fedha za kigeni kwa nchi.
Maana utamuuzia mwingine umeme, atautumia kuzalisha bidhaa na kuja kukuuizia wewe mwenyewe. Akipata faida na kuzalisha ajira kwa watu wake.
Fedha ya Samia kwenda nje kuzurula inapatikana huko!Hawahawa wanaokwepa Kodi,hata wakitoa bado wanaiibia serikali ya mama
Hakuna cha bure mkuu, kuna operation cost kwenye umeme lazima zifidiwe na mtumiajiInasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem.
Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones, yaani maeneo ya viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa ajili ya kuexport, na kisha tukavipatia viwanda hivyo umeme wa bure au kwa labda 20% ya bei ili kuchochea uchumi. Viwanda hivyo vitazalisha ajira na pia vitaleta fedha za kigeni kwa nchi.
Maana utamuuzia mwingine umeme, atautumia kuzalisha bidhaa na kuja kukuuizia wewe mwenyewe. Akipata faida na kuzalisha ajira kwa watu wake.
Hii ni science mkuu its about facts and numbers hapo hakuna siasa ni uzalishaji vs matumiziHaitotokea tuwe na umeme wa kututosheleza na tuuze nje. Hizo ni propaganda tu
Wanadai kuzalisha umeme wa maji gharama average ni Tsh 125 kwa unit moja. Inaweza kuwa ndogo hadi 50 kwa unit. Tunanunua umeme kwa kama Tsh 360 kwa unit. Kama unazalisha unit kwa Tsh 50, ziada unaweza kabisa kuwapa wenye viwanda vya kuexport bure. Au wanalipia tuseme 100 kuchangia uzalishaji na usambazaji. Faida utakayopata kwenye kuzalisha ajira na kuexport, kupata kodi na kupata pesa za kigeni ni kubwa kuliko ukiuza huo umeme nje.Mkuu, umeme sio kitu cha bure, ile ni biashara ya Tanesco, kuutoa bure manake serikali inabidi ianze kutoa ruzuku,
Wanadai kuzalisha umeme wa maji gharama average ni Tsh 125 kwa unit moja. Inaweza kuwa ndogo hadi 50 kwa unit. Tunanunua umeme kwa kama Tsh 360 kwa unit. Kama unazalisha unit kwa Tsh 50, ziada unaweza kabisa kuwapa wenye viwanda vya kuexport bure. Au wanalipia tuseme 100 kuchangia uzalishaji na usambazaji. Faida utakayopata kwenye kuzalisha ajira na kuexport, kupata kodi na kupata pesa za kigeni ni kubwa kuliko ukiuza huo umeme nje.