Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #41
Na hiyo mikopo inalipwa kwa dola. Wewe ukinunua umeme kwa Tsh hauchangii chochote katika kulipa deni. Exporter anayeuza nje na kuleta pesa za kigeni ndiye pesa yake inaweza kutumioa kulipa deni. Kama concern yako ni deni basi ni bora sana tumpe bure mwenye kiwanda atayeuza nje kuliko tukuuzie wewe.Hujui kama hela za kujenga bwawa ni za mkopo ?
Mnafikiri Arab contractor amejenga bwawa bure bure
Unajua pia matumizi ya umeme yanaongezeka Kwa Kasi sana ?? Kuna vyanzo vingine vishabuniwa baada ya hili bwawaHii ni science mkuu its about facts and numbers hapo hakuna siasa ni uzalishaji vs matumizi
MAtumizi yanakuwa ila bwawa ni game changer ķwa tanzania linazalisha umeme mkubwa sana kuliko matumizi by far, kufikia matumizi ya uzalishaji kwa soko la ndani siyo kwa kizazi hiki, ule umeme ni mwingi sana check data ndio utajua tunachkiongeleaUnajua pia matumizi ya umeme yanaongezeka Kwa Kasi sana ?? Kuna vyanzo vingine vishabuniwa baada ya hili bwawa
Kasikia umeme wa ziada kajua wanauokota tuu hakuna gharama kuuzalisha na kuusafirisha.KUuza na kugawa mbona hakuna uhusiano hapo mkuu!?
Ok basi tusubiri. Huenda wewe ukawa sahihi au Mimi nikawa sahihi. Muda utaamuaMAtumizi yanakuwa ila bwawa ni game changer ķwa tanzania linazalisha umeme mkubwa sana kuliko matumizi by far, kufikia matumizi ya uzalishaji kwa soko la ndani siyo kwa kizazi hiki, ule umeme ni mwingi sana check data ndio utajua tunachkiongelea
Lile bwawa haliwezi kufikia uzalishaji lengwa kwa sababu ya vyanzo vya maji vinavyotegemewa ni vy msimu.Inasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem.
Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones, yaani maeneo ya viwanda vinavyozalisha bidhaa kwa ajili ya kuexport, na kisha tukavipatia viwanda hivyo umeme wa bure au kwa labda 20% ya bei ili kuchochea uchumi. Viwanda hivyo vitazalisha ajira na pia vitaleta fedha za kigeni kwa nchi.
Maana utamuuzia mwingine umeme, atautumia kuzalisha bidhaa na kuja kukuuizia wewe mwenyewe. Akipata faida na kuzalisha ajira kwa watu wake.
Mkuu nisamehe tayari huku tumeshapigwa na kitu kizito, tunanunua umeme kutoka ethiopia😃😃😃Ok basi tusubiri. Huenda wewe ukawa sahihi au Mimi nikawa sahihi. Muda utaamua
😂😂 Kwakweli. Ukifuatilia historia ya huu msemo tutauza umeme nje umeanza zamani Sana. Sio jambo jepesi nchi kujitosheleza Kwa nishati ya umeme Hadi kuuza nje. Na nathubutu kusema haitokuja kutokeaMkuu nisamehe tayari huku tumeshapigwa na kitu kizito, tunanunua umeme kutoka ethiopia😃😃😃