Wazo bora la biashara

Wazo bora la biashara

Erick kg

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
314
Reaction score
71
Habari humu,
Nina wazo bora na nimepata tender ya biashara pale QUALITY CENTRE MALL.
Wazo lenyewe ni kufungua PLAYSTATION AND XBOX GAMES STUDIO pale Quality centre, Funspot.
Mpaka sasa nimeshapata deal la kuwekeza pale na wamiliki tumekubaliana kuhusu chochote kinachopatikana ni 50:50 na wamiliki wa QUALITY CENTRE.
Hii biashara ina pesa sana.
Tumepanga kuweka Tv 10.
Ba gharama kwa saa ni 10,000
Na sehemu inafanya kazi masaa 12 kuanzia saa 4asubuhi mpaka saa4 usiku.
Makadirio ya mahesabu ya pesa itayopatikana kwa siku.
Tufanye sehemu itakuwa active masaa 4 kila siku imejaa watu
10 Tv *10,000 *4 =400,000 kwa siku
Kwa mwezi
400,000* 30= 12,000,000
Makubaliano ya biashara baina ya mimi na quality centre ni 50:50
Na quality wanalipa kodi, umeme na gharama zingine za pango.

12,000,000 ÷2 =6,000,000
Tufanye 2,000,000 ni gharama za uendeshaji wa biashara
Kinachobakia ni 4,000,000.

Kwahio biashara inauhakika wa kutengeneza 4m kila mwezi kwa mwaka itatengeneza 48,000,000 tshs.

Na PESA inayotakiwa kuwekeza ni 20-25millioni
Ambayo itatumika kununua
Television 10
Playstation console 4- idadi 4
Playstation console 3- idadi 3
Xbox idadi 3
Furniture
Gaming lights
decoration

Kwa maelekezo zaidi usisite kuwasiliana na mimi. Natafuta mwekezaji wa biashara hii.

kuna pesa nyingi pale.

0717022737.
 
habari humu,
Nina wazo bora na nimepata tender ya biashara pale QUALITY CENTRE MALL.
wazo lenyewe ni kufungua PLAYSTATION AND XBOX GAMES STUDIO pale Quality centre, Funspot.
Mpaka sasa nimeshapata deal la kuwekeza pale na wamiliki tumekubaliana kuhusu chochote kinachopatikana ni 50:50 na wamiliki wa QUALITY CENTRE.
Hii biashara ina pesa sana.
Tumepanga kuweka Tv 10.
Ba gharama kwa saa ni 10,000
Na sehemu inafanya kazi masaa 12 kuanzia saa 4asubuhi mpaka saa4 usiku.
Makadirio ya mahesabu ya pesa itayopatikana kwa siku.
Tufanye sehemu itakuwa active masaa 4 kila siku imejaa watu
10 Tv *10,000 *4 =400,000 kwa siku
Kwa mwezi
400,000* 30= 12,000,000
Makubaliano ya biashara baina ya mimi na quality centre ni 50:50
Na quality wanalipa kodi, umeme na gharama zingine za pango.

12,000,000 ÷2 =6,000,000
Tufanye 2,000,000 ni gharama za uendeshaji wa biashara
Kinachobakia ni 4,000,000.

Kwahio biashara inauhakika wa kutengeneza 4m kila mwezi kwa mwaka itatengeneza 48,000,000 tshs.

Na PESA inayotakiwa kuwekeza ni 20-25millioni
Ambayo itatumika kununua
Television 10
Playstation console 4- idadi 4
Playstation console 3- idadi 3
Xbox idadi 3
Furniture
Gaming lights
decoration

Kwa maelekezo zaidi usisite kuwaailiana na mimi. Natafuta mwekezaji wa biashara hii.

kuna pesa nyingi pale.

0717022737.

Sample ya sehemu itakavyokuwa
 
Attachments

  • 1445060151241.jpg
    1445060151241.jpg
    82.3 KB · Views: 274
Bonge la wazo mkuu,na pia nakupongeza kwa kushare Idea na wenzako.

Ila wewe mkali aisee,yaani hadi Mabosi wakubwa wa Quality Center umewapata,we noooma.
Kweli maskini akili yake ni mtaji tosha.

Ila subiri wabongo walivyo na fitna,unaweza kukuta mtu kaona hapa wazo na yeye akawafuata.
Na mungu watu kama hawa huwa anawaumbua,wakianzisha kwa fitna basi mungu huwafeli kwa the same style.Aisee Mungu nae anatisha.

Kila la kheir Brother,Ubarikiwe.

Mchango mwingine:-
-Wakati unatafuta wabia,ni kwamba inaweza ikawa ngum kupata mtu mmoja,sasa unaweza kukusanya watu kadhaa mkafanya mfumo wa hisa.Ili baadae anaeona mambo siyo,basi mnampa chake anasepa.

-Jingine,wahindi baadhi yao ni fitna saana kwenye biashara,sasa hakikisha mkataba unakuwa mkali sana kwenye ku terminate mkataka,maana unaweza kuanza mwaka mmoja basi baada ya hapo wakakutoa kisha kuanzisha wao kwa kupeana wao kwa wao.Hapa wanasheria wanajua namna ya kubana kwa style hii ya Fitna kabana
 
Back
Top Bottom