Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Kipeperushi kiko wapi?
Mmmh ngoja tuone..Mambo Vijana Tanzania !.
Oooooh sasa hii sio ya kukosa; kikubwa ni mwendo wa kutembea na fursa. Kwa wale vijana ambao wanajitafuta; hawajui wanaanzaje kutoboa sasa mzigo huu hapa nimeambatanisha kipepetushi toka Wizara ya Vijana.
Oya Kijana karibu sana.
Mshtue na mwenzio chap kwa haraka.