Wazo bunifu: Ma IT wa JF

Unatangaza mitandaoni... Mwanzoni turn up itakuwa ndogo lakini in mean time huduma ikiwa nzuri utaona matokeo
Watanzania wanataka vitu rahisi tahisi, weww anzisha post ya kwamba kuna Chimbo la.madini ni jipya kabisa, uone humu pm zitakavyo kuwa nyingi sana, lakini vitu vinavyo umiza kichwa hutakaaa uwaone
 
Wabongo tuna ubinafisi wa ajabu sana, huwa nawapenda sana Wakenya au Waganda wale jamaa na ukabila wao ila wana mambo comon.Hata wazambia pia,

Watanzania itaneni kwenye kula na kunywa na kudscus mpira, wanasiasa au wanawake hapo utawaona kwa wingi sana lalini waambie wakuu tukutane tuone tunaweza vipi kusonga mbele hutawaona kabisa.

Ubinafisi wetuni ni faida kwa watu wengine hasa foreigners
 
Umeongea kitu cha kweli man, watz ni watu wa ovyo sana when comes to personal development.


Nilipataga friend anapiga pesa sana kwenye app plus fb, nilimbembeleza 4 yrs anielekeze how . 2020 akanipa kipindi since 2016 baada ya kumsumbua sana, nikamit nae dar akanipa abc kuhusu anavyopiga mboga online. Ile siku nilipagawa sikulala nikajiona mjinga sana kwa kushinda na fb na siingizi pesa.


Nikaanza kulifanyia kazi kile mwana alichonifundisha na kwenda extra mile , nikaenda mbali zaidi kwenye namna ya kuweka ads tofauti na mwana. Nilivyomuonyesha mwana akapagawa kumbe mwana aliniweka kama chambo alijua sitoboa.


Akashangaa nimefikisha siku 30 sijapigwa ban na fb. Jamaa akaanza kuforce king tufanye pamoja sikumkazia nikaona si tcha ndio kaniomba. Kumbe mwana amekuja kuniharibia na fb na mwisho nikapigwa ban na fb baada ya wik 2 ya kufanya kazi na mwana.


Alivyoniharibia akawa mbali na namm na urafiki ukafa. 😥
 
Six (6) Leadership Principles that we can learn from an Eagles

1. Eagles fly Alone and at High Altitudes.
They don't fly with sparrows, ravens, and other small birds.
MEANING; Stay away from narrow-minded people, those that bring you down. Eagle flies with Eagles. Keep good company.

2. Eagles have an Accurate Vision. They have the ability to focus on something as far as 5km away. No matter the obstacles, the eagle will not move his focus from the prey until he grabs it.
MEANING; Have a vision and remain focused no matter what the obstacles and you will succeed.

3. Eagles do not Eat Dead things. They Feed only on Fresh Prey.
MEANING; Do not rely on your past success, keep looking for new frontiers to conquer. Leave your past where it belongs, in the past.

4. Eagles Love the Storm.
When clouds gather, the eagle gets excited, the eagle uses the storms wind to lift itself higher. Once it finds the wind of the storm, the eagle uses the raging storm to lift itself above the clouds. This gives the eagle an opportunity to glide and rest its wings. In the meantime, all the other birds hide in the branches and leaves of the tree.
MEANING; Face your challenges head on knowing that these will make you emerge stronger and better than you were. We can use the storms of life to rise to greater heights. Achievers are not afraid to rise to greater heights. Achievers are not afraid of challenges, rather they relish them and use them profitably.

5. Eagles Prepare for Training;
They remove the feathers and soft grass in the nest so that the young ones get uncomfortable in preparation for flying and eventually flies/ when it becomes unbearable to stay in the nest./
MEANING; Leave your Comfort Zone, there is No Growth there.

6. When the Eagle Grows Old,
His feathers becomes weak and cannot take him as fast and as high as it should. This makes him weak and could make him die. So he retires to a place far away in the mountains. While there, he plucks out the weak feathers on his body and breaks its beaks and claws against the rocks until he is completely bare; a very bloody and painful process. Then he stays in this hiding place until he has grown new feathers, new beaks and claws and then he comes out flying higher than before.
MEANING; We occasionally need to shed off old habit no matter how difficult, things that burden us or add no value to our lives should be let go of.
 
Nje ya nchi sitaki urafiki wala kujuana na Mtanzania ye yote isipokuwa may be mtu aliyenizidi sana na ninayeweza kujifunza kwake japo napo ni kwa machale sana . Hakuna mtu mwenye roho mbaya kama Mtanzania
 
Alivyoniharibia akawa mbali na namm na urafiki ukafa. [emoji26][emoji3064]
 
Stay away from narrow-minded people, those that bring you down. Eagle flies with Eagles. Keep good company.[emoji818][emoji817]
 
Stay away from narrow-minded people, those that bring you down. Eagle flies with Eagles. Keep good company.[emoji818][emoji817]
 
Nje ya nchi sitaki urafiki wala kujuana na Mtanzania ye yote isipokuwa may be mtu aliyenizidi sana na ninayeweza kujifunza kwake japo napo ni kwa machale sana . Hakuna mtu mwenye roho mbaya kama Mtanzania
Hakuna mtu mwenye roho mbaya kama Mtanzania[emoji848][emoji2827]
 
Mshana Jr
Kuna watu siyo IT's lakini wanaweza kuruhusiwa kutoa mawazo yao ili yafanyiwe kazi.
Ubunifu mwingi huanza na wazo ambalo kwa haraka haraka ni kama fikra za ki-wendawazimu lakini baadaye kuwa gunduzi zenye tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…