Kwani Fredy ni Masai?Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.
The ball is on your courts.....
Nimekutukana kimoyomoyoWanatangazwa vizuri tu......
Mpigieni na Ole SendekaHome is where your heart.......
Wakileta mchezo watawauaMoja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.
The ball is on your courts.....
Usijidanganye, huyo fred hana ushawishi kama baba yake, anadharaulika sana na masai kwa ajili ya ulevi wake, hata kuongea hajuiMoja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.
The ball is on your courts.....
Reforms zinahitajika hili halina pingamizi. Ila mnatangaza woga kupitiliza.Ndio wsjifunze kuwa No Reforms No Elections ni muhimu hata kwa CCM maana leo hii hata kama raia wanakupenda ila tume ndio hii utaporwa tu ushindi.
Subiri 2030 kina Mwigulu wakikatwa nao utaona wanalia lia na kukimbilia upinzani wanajisahau wakiwa madarakani ndio wanapaswa kuandaa exit plan in case wakifanyiwa figisu CCM.
Unfortunately, tunaishi kwenye jamii ambayo unaweza kutumia jina la baba yako kula.Usijidanganye, huyo fred hana ushawishi kama baba yake, anadharaulika sana na masai kwa ajili ya ulevi wake, hata kuongea hajui
2015 sawa maana enzi za kikwete kulikua walau na demokrasia majimboni na katani na wengi tu waliohama CCM walitetea viti vyao so it's not news.Je, nina support ya umma ? Kama jibu ni ndiyo I go for it. Huyu diwani ninayemzungumzia 2015 aliaambiwa na wapiga ramli hivi hivi hautatangazwa hautatangazwa Ila alipewa udiwani wake
Kivipi? Nani aliyesema kukubalika ndio kunaamua mshindi? Hata Mpina mbona madiwani kibao wamemfuata ila trust me hakuna hata mmoja atapita si tupo hapa ntakuja kukumbusha baada ya uchaguzi.Hawa labda waoogope consequences zitakazo athiri biashara za familia....Ila wanashinda asubuhi. Ni sawa na Mpina angeenda kwenye ubunge wala asingekuwa na mpinzani
Hawakuwa na mass support....hii ikikoseakana hata uje na hoja za Jupiter.2015 sawa maana enzi za kikwete kulikua walau na demokrasia majimboni na katani na wengi tu waliohama CCM walitetea viti vyao so it's not news.
Ila kuanzia 2020 nani aliyehama CCM akatetea kiti? Nitajie mmoja tu?
Upo serious kweli unachoongea? Mwaka 2020 kabla hata kura hazijapigwa tayari majimbo 35 yalipita bila kupingwa sababu wagombea wa upinzani waliondolewa. Mind you kata zaidi ya 40% CCM walipita bila kupingwa na hata serikali za mitaa 90% ya wagombea wa Upinzani walienguliwa meaning 90% ya mitaa, vijiji na vitongoji CCM walipita bila kupingwa.Hawakuwa na mass support....hii ikikoseakana hata uje na hoja za Jupiter.
Tutake tusitake tukubali kuanzia 2016 Kuja huku Magufuli aliwin mioyo ya wapiga kura wengi? Aliwin kupitia njia halali au isiyohalali is irrelevant in this argument. Suala ni upinzania ulikosa watu.
Kumbuka 2015 kurudi ilikuwa ukivaa shati la CCM unazomewa. Je, wazomeaji walienda wapi? Utasema waliogopa kukamatwa!!
Je, wavaaji walipata wapi confidence!......
Sasa hivi walau tumeanza kuona wapiga kura wameanza kuinua vichwa vyao kuangalia walichonacho upinzani maana wamerudi kulekule tulipokuwa 2015 kurudi nyuma.
My point: Watu ndiyo mtaji mkubwa wa siasa kuzidi hata sheria.
Maalim Seif hakuwa na mass support alishinda? Lowassa vipi?My point: Watu ndiyo mtaji mkubwa wa siasa kuzidi hata sheria.