Wazo: Fred na Emmanuel Ole Shangai jamii ya Maa itawapigia kura pasipo kujali chama.

Maalim Seif hakuwa na mass support alishinda? Lowassa vipi?
Kushinda ni process..... ndiyo maana Zanzibar kuna progress ilionekana kipindi cha Maalim.

Kipindi cha Lowasa pia progress ilionekana....lini tulishawahi kuwa na wabunge zaidi ya 70 wa kuchaguliwa kutoka chama kimoja.

Lowasa asingekuwa na mtaji wa watu CDM wasingepata hao wabunge. Nadhani tusilijadili hili....

Kuhusu kuanzia 2020 Jibu langu ni lile lile upinzani hawakuwa na watu....Magufuli alishinda mioyo ya wapiga kura wengi kuanzia 2016. Aliwapa wapiga kura walichokuwa wanakikosa kipindi cha JK. Kilikuwa kizuri au kibaya[is irrelevant]

Mass support haikutumika kulinda kura tu 2015 pia inatumika kuitisha mamlaka incase wanataka kufanya irregularities.

Lema alitangazwa Arusha 2010 sio kwasababu ya sheria maana zilishipindishwa...alitangazwa kwasababu mamlaka iliogopa consequences.

Je, tunahitaji kuwa na sheria zinazovipa vyama vyote nafasi sawa kwenye uchaguzi ? Ndiyo ila tunahitaji watu pia. Mtaji wa siasa ni watu.

Pale sheria inapopindishwa na nyie mtumie watu. Mwanasiasa asiye na watu nyuma yake ni sawa na mpiga debe stand tu.
 
Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.

Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.

Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.

The ball is on your courts.....
CCM wakiamua hata waweke jiwe litashinda tu usiwasumbue hao jamaa
 
Ccm haiogopi lolote hii nchi
 
Yule mbunge wa ngorongoro na ole, kwambalitea ndugu zao? Basi nini maana ya kuchaguliwa mbunge ili mfanye pamoja na wapigakura? Tunakaa kimya Kwa sasa, baadae Iko jirani kabisa
 
Kuhusu kuanzia 2020 Jibu langu ni lile lile upinzani hawakuwa na watu....Magufuli alishinda mioyo ya wapiga kura wengi kuanzia 2016. Aliwapa wapiga kura walichokuwa wanakikosa kipindi cha JK. Kilikuwa kizuri au kibaya[is irrelevant]
Haujajibu swali, 90% ya mitaa na vijiji CCM walipita bila kupingwa utasemaje sababu JPM anakubalika?

2. Kama unadai CCM ilikua na watu ina mbona hao wagombea popular waliohamia upinzani 2020 walishindwa tetea majimbo yao mfano Nyalandu?

3. Madiwani kadhaa wamemfuata Mpina akirudi hata mmoja naomba nitajiondoa JF.
 
Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.

Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.

Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.

The ball is on your courts.....
ccm hawategemei kura zenu ndo maana watatiki!
 
Haujajibu swali, 90% ya mitaa na vijiji CCM walipita bila kupingwa utasemaje sababu JPM anakubalika?

2. Kama unadai CCM ilikua na watu ina mbona hao wagombea popular waliohamia upinzani 2020 walishindwa tetea majimbo yao mfano Nyalandu?

3. Madiwani kadhaa wamemfuata Mpina akirudi hata mmoja naomba nitajiondoa JF.
Kuhangaika kutafuta mshindi kwenye uchafuzi wa wazi ni kujiondoa akili!
 
Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.

Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.

Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.

The ball is on your courts.....
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.😎
 
Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.

Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.

Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.

The ball is on your courts.....
Nani atatangaza ushindi wao, hivi wenzetu bado mnaimani na tume ya uchaguzi?
 
Kushinda ni process..... ndiyo maana Zanzibar kuna progress ilionekana kipindi cha Maalim.

Kipindi cha Lowasa pia progress ilionekana....lini tulishawahi kuwa na wabunge zaidi ya 70 wa kuchaguliwa kutoka chama kimoja.

Lowasa asingekuwa na mtaji wa watu CDM wasingepata hao wabunge. Nadhani tusilijadili hili....

Kuhusu kuanzia 2020 Jibu langu ni lile lile upinzani hawakuwa na watu....Magufuli alishinda mioyo ya wapiga kura wengi kuanzia 2016. Aliwapa wapiga kura walichokuwa wanakikosa kipindi cha JK. Kilikuwa kizuri au kibaya[is irrelevant]

Mass support haikutumika kulinda kura tu 2015 pia inatumika kuitisha mamlaka incase wanataka kufanya irregularities.

Lema alitangazwa Arusha 2010 sio kwasababu ya sheria maana zilishipindishwa...alitangazwa kwasababu mamlaka iliogopa consequences.

Je, tunahitaji kuwa na sheria zinazovipa vyama vyote nafasi sawa kwenye uchaguzi ? Ndiyo ila tunahitaji watu pia. Mtaji wa siasa ni watu.

Pale sheria inapopindishwa na nyie mtumie watu. Mwanasiasa asiye na watu nyuma yake ni sawa na mpiga debe stand tu.
Kama kushinda ni process hata Fred wako hatashinda na hata akishinda hatatangazwa kama ilivyokuwa kwa Maalim Seif
 
Tatizo halipo kwenye kupigiwa kura, unaweza ukapigiwa kura zote lakini usitangazwe. Kama hawahitajiki basi hata wapigiwe kuwa kwa 100% bado hawawezi kutangazwa
Kwa hiyo unataka kuthibitisha hoja yetu wapinzani kuwa INEC siyo huru na inavunja katiba?
 
Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.

Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.

Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.

The ball is on your courts.....
Atakae watangaza wakiamia huko upinzani ni nani? Afterall Fred ndio hawezi toka ccm kabisa maana anajua siku akitoka tu na mali na biashara zao zitaanza kukutana na mkono wa serikali.
 
Back
Top Bottom