Kushinda ni process..... ndiyo maana Zanzibar kuna progress ilionekana kipindi cha Maalim.Maalim Seif hakuwa na mass support alishinda? Lowassa vipi?
Unaweza Fred Vunja Bei wakati wenzako wanajadili Fred LowassaKwani Fredy ni Masai?
CCM wakiamua hata waweke jiwe litashinda tu usiwasumbue hao jamaaMoja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.
The ball is on your courts.....
Tulia Mbumbumbu hata Lowassa mwenyewe hakuwa MmasaiUnaweza Fred Vunja Bei wakati wenzako wanajadili Fred Lowassa
Alikuwa mdigo kama wewe?Tulia Mbumbumbu hata Lowassa mwenyewe hakuwa Mmasai
Ccm haiogopi lolote hii nchiMoja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.
The ball is on your courts.....
Yule mbunge wa ngorongoro na ole, kwambalitea ndugu zao? Basi nini maana ya kuchaguliwa mbunge ili mfanye pamoja na wapigakura? Tunakaa kimya Kwa sasa, baadae Iko jirani kabisaMoja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.
The ball is on your courts.....
Hujui mama kitulize uulize mbona kule ni kwa babu mzaa mamaAlikuwa mdigo kama wewe?
Umekariri stori za vijiweni halafu unazileta huku kwa GTs. Zipeleke hizi soga zako kule FacebookHujui mama kitulize uulize mbona kule ni kwa babu mzaa mama
Chini ya nani ? Hawa walioko?Wanatangazwa vizuri tu......
Haujajibu swali, 90% ya mitaa na vijiji CCM walipita bila kupingwa utasemaje sababu JPM anakubalika?Kuhusu kuanzia 2020 Jibu langu ni lile lile upinzani hawakuwa na watu....Magufuli alishinda mioyo ya wapiga kura wengi kuanzia 2016. Aliwapa wapiga kura walichokuwa wanakikosa kipindi cha JK. Kilikuwa kizuri au kibaya[is irrelevant]
Shida yako ni hijui hata vitu vya uhalisia ambavyo yeye mwenyewe Marehemu amekiriUmekariri stori za vijiweni halafu unazileta huku kwa GTs. Zipeleke hizi soga zako kule Facebook
ccm hawategemei kura zenu ndo maana watatiki!Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.
The ball is on your courts.....
Kuhangaika kutafuta mshindi kwenye uchafuzi wa wazi ni kujiondoa akili!Haujajibu swali, 90% ya mitaa na vijiji CCM walipita bila kupingwa utasemaje sababu JPM anakubalika?
2. Kama unadai CCM ilikua na watu ina mbona hao wagombea popular waliohamia upinzani 2020 walishindwa tetea majimbo yao mfano Nyalandu?
3. Madiwani kadhaa wamemfuata Mpina akirudi hata mmoja naomba nitajiondoa JF.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.😎Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.
The ball is on your courts.....
Nani atatangaza ushindi wao, hivi wenzetu bado mnaimani na tume ya uchaguzi?Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.
Mwaka 2015 wilaya ya Ngorongoro diwani mmoja alikatwa kwa ujinga huu huu alihamia ACT na alishinda asubuhi. Kama hawa wanasiasa wanazo[balls] hii ndiyo opportunity/karata yao ya mwisho kucheza huu mchezo kamati iliyouanza. I'm not sure about Ole Sendeka ila Fred na Emmanuel Ole Shangai wanashinda mapema bila kujali chama watakachoamua kujiunga nacho.
Watajaribu kumtumia Makonda na familia ya hayati waziri mkuu jirani wa Fred ila haitasaidia. Viongozi wa kimila wapo nyuma yenu na upigaji wa kura wa jamii ya Maa unasikiliza saana viongozi.
The ball is on your courts.....
Kama kushinda ni process hata Fred wako hatashinda na hata akishinda hatatangazwa kama ilivyokuwa kwa Maalim SeifKushinda ni process..... ndiyo maana Zanzibar kuna progress ilionekana kipindi cha Maalim.
Kipindi cha Lowasa pia progress ilionekana....lini tulishawahi kuwa na wabunge zaidi ya 70 wa kuchaguliwa kutoka chama kimoja.
Lowasa asingekuwa na mtaji wa watu CDM wasingepata hao wabunge. Nadhani tusilijadili hili....
Kuhusu kuanzia 2020 Jibu langu ni lile lile upinzani hawakuwa na watu....Magufuli alishinda mioyo ya wapiga kura wengi kuanzia 2016. Aliwapa wapiga kura walichokuwa wanakikosa kipindi cha JK. Kilikuwa kizuri au kibaya[is irrelevant]
Mass support haikutumika kulinda kura tu 2015 pia inatumika kuitisha mamlaka incase wanataka kufanya irregularities.
Lema alitangazwa Arusha 2010 sio kwasababu ya sheria maana zilishipindishwa...alitangazwa kwasababu mamlaka iliogopa consequences.
Je, tunahitaji kuwa na sheria zinazovipa vyama vyote nafasi sawa kwenye uchaguzi ? Ndiyo ila tunahitaji watu pia. Mtaji wa siasa ni watu.
Pale sheria inapopindishwa na nyie mtumie watu. Mwanasiasa asiye na watu nyuma yake ni sawa na mpiga debe stand tu.
Kwa hiyo unataka kuthibitisha hoja yetu wapinzani kuwa INEC siyo huru na inavunja katiba?Tatizo halipo kwenye kupigiwa kura, unaweza ukapigiwa kura zote lakini usitangazwe. Kama hawahitajiki basi hata wapigiwe kuwa kwa 100% bado hawawezi kutangazwa
Atakae watangaza wakiamia huko upinzani ni nani? Afterall Fred ndio hawezi toka ccm kabisa maana anajua siku akitoka tu na mali na biashara zao zitaanza kukutana na mkono wa serikali.Moja ya sababu kubwa iliyofanya Ole Sendeka, Fred na Ole Shangai kupewa mgongo na kamati ni msimamo wao kuhusu suala la kuhamishwa kwa jamii ya Maa Ngorongoro.