Wazo Fyatu: Ukali wa Mbwa Humtegemea Mwenye Mbwa...

EEEEeeeh EEeeeeHeeeeee!
Sijasoma yote, lakini niliyofanikiwa kuyasoma,:
1. Kichwa cha Mada

2. Multiple choice hapo chini
3. Pamoja na fikra zilizoniijia kichwani baada ya kukuona mleta mada, na kushukuru kwamba kumbe Corona haikuwa chochote, wala lolote kwa upande wako...,
NIKACHEKA SANA, kama nilivyofanya hapo juu!

Ili nami nihesabike katika waliofanya mtihani huo, ngoja nijitose kuujibu kwa kuchagua jibu (z) kama jibu sahihi.

Sasa ngoja nikaisome mada.
 
Umenena.

Kila kitu kipo hapo.

Sina lolote la kuongeza hapa.

Hebu ngoja!

Hivi "Mwenye mbwa", na yeye anaweza akawa mali ya mtu mwingine anayemwamrisha kama mwanasesele, huku yeye akiwa pembeni?
 
Umenena.

Kila kitu kipo hapo.

Sina lolote la kuongeza hapa.

Hebu ngoja!

Hivi "Mwenye mbwa", na yeye anaweza akawa mali ya mtu mwingine anayemwamrisha kama mwanasesele, huku yeye akiwa pembeni?
Yaani mwenye mbwa naye anamtu ameshika mnyororo? Mbona ni kama kile kitendawili cha "mbele ya baba Kuna baba na nyuma ya baba Kuna baba; kulikuwa na baba wa ngapi?". Labda wa kumtafuta mshika mwenye mbwa...
 
Sasa hiyo Z inaingiaje hapo
 
Utashukiwa kama mwewe na kuitwa sukuma gang na walee jamaa. Yaani umemtaja Magufuli?
 
Mnazungumzia ukali bila ubora wa pori(katiba) story tu za hewala hewala...
Ukali ndio unaoua Africa every day
 
Ukali wa mbwa hutegemea mbinu za mwenye mbwa. Mbwa wengine huonekana ni wakali kwa kuwa wana bweka bweka hovyo tu.

Mwenye mbwa anaweza kutumia mbinu sahihi na za kitaalamu ili apate matokeo aliyoyakusudia. Lakini zipo mbinu zisizokuwa kuwa za kitaalamu ambazo huwa athari hasi mbwa mwenyewe.

Kwa kuwa wazo lililopo mezani ni fyatu, basi chukulia mfano mbwa amevutishwa bange, kwa vyovyote vile atakuwa mkali kwa muda mfupi awapo katika athari kilevi cha jani, ingawaje mbinu ambayo imetumika huwa siyo nzuri.

Hapo jibu la "z.Magufuli" linapata mashiko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza nipate hata hao mbwa wanaokimbiza hata upepo wawakimbize wale wanaochezea koki ya maji kwa kuifunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…