Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EEEEeeeh EEeeeeHeeeeee!Na. M. M. Mwanakijiji
Unaweza ukakuta mbwa asiyebweka; unaweza kukuta mbwa anayebwekabweka tu lakini hang'ati. Kuna mbwa mwingine ukimtazama tu unajua huyu "shughuli". Na unaweza kukuta mbwa wanaopenda kucheza cheza; hawafoki, hawabweki, wapo wapo tu ila wanaona raha kuita "puppy, puppy"!
Siyo kila mbwa anaweza kubweka; na siyo kila mbwa anaweza kuwa wa kulinda. Wengine wapo kwa ajili ya mapambo tu kama tule tu 'chiuhahua'. Vimbwa vile vina makeke mengine lakini ndiyo hivyo ni vya kupet pet tu. Huwezi kulinda nyumba na hivi vijibwa. Kuna vingine ni vya mashindano tu; yaani unavipendezesha tu ilimradi watu waseme "she is so cuuuteeee".
View attachment 2411710
(Chiuhauha)
Na wapo mbwa wengine kazi yao ni kuwinda si kulinda; kuna hao wanaitwa 'greyhounds'. Wanakimbia hawa, wanafukuza lakini mara nyingi hawali! Watakamata kasungura watakusubiri ukawahi! Wao wanakimbiza hata karatasi kwenye upepo.. alimradi waoneshe uwezo wao wa kukimbia!
Lakini inasemekana ukitaka ulinzi mzuri na mbwa anayetii na kufuata amri na akawa mzuri hata nyumbani hakuna anayependwa zaidi kama German Shepherd au mchanganyiko wake. Na wengine wanawapenda wale Doberman. Haya bana ukikutana nayo lazima ujibane ukitembea!
View attachment 2411706
(Doberman Pinscher)
View attachment 2411709
(German Shepherd)
Lakini vyovyote vile ukali wa mbwa humtegemea mwenye mbwa. Kama mbwa analelewa kwa kuruhusiwa kuchezewa chezewa tu, kushikwa shikwa tu hata kama ni mbwa kwa asili ni mkali anaweza kuwa kama pets wengine tu! Sasa ukifika mahali ukakuta mtu anasema ana mbwa mlinzi halafu watu wanakuja na kuiba kila kukicha na yeye anajisifia mbwa aliyenaye ni mzuri kwa vile anaweza kufoka tu basi ujiulize.
Ndio maana hawa FFU na mbwa wao wale; akimwambia "kamata".. lazima amuachie! hawezi kumwambia kamata halafu akaendelea kumshika kwani na yeye ataburuzwa!
Somo la leo: Ukali wa Mwenye Mbwa humtegemea Mwenye Mbwa.... kama mbwa hang'ati, hafoki, hapigi mkwara hata kuja hadi getini tu... watu wakaogopa.. tatizo yumkini si mbwa.... tatizo ni .....
a. Mbwa
b. Kola ya Mbwa
c. Chakula cha Mbwa
d. Mwenye Mbwa
z. Magufuli.
Unajua, wakati haumsubiri yeyote.Na hilo waende wakalitizame
Umenena.Lakini vyovyote vile ukali wa mbwa humtegemea mwenye mbwa. Kama mbwa analelewa kwa kuruhusiwa kuchezewa chezewa tu, kushikwa shikwa tu hata kama ni mbwa kwa asili ni mkali anaweza kuwa kama pets wengine tu! Sasa ukifika mahali ukakuta mtu anasema ana mbwa mlinzi halafu watu wanakuja na kuiba kila kukicha na yeye anajisifia mbwa aliyenaye ni mzuri kwa vile anaweza kufoka tu basi ujiulize.
Ndio maana hawa FFU na mbwa wao wale; akimwambia "kamata".. lazima amuachie! hawezi kumwambia kamata halafu akaendelea kumshika kwani na yeye ataburuzwa!
Yaani mwenye mbwa naye anamtu ameshika mnyororo? Mbona ni kama kile kitendawili cha "mbele ya baba Kuna baba na nyuma ya baba Kuna baba; kulikuwa na baba wa ngapi?". Labda wa kumtafuta mshika mwenye mbwa...Umenena.
Kila kitu kipo hapo.
Sina lolote la kuongeza hapa.
Hebu ngoja!
Hivi "Mwenye mbwa", na yeye anaweza akawa mali ya mtu mwingine anayemwamrisha kama mwanasesele, huku yeye akiwa pembeni?
Nilidhani ni Kinyakyusa cha ndaniii...asante.Mzee karibu tena bana .
Chihuahua na sio Chiuhauha
Me happy...Diese riesen, duuh!
Kabda kutoka ahera madukani bado anawabwekea...Kuna mbunge kasema alikopa sana. Labda Magufuli anatumiwa kuhalalisha uovu unaotendwa sasa.
Kuna upinzani bado?Bado Dr Slaa kurudi upinzani...timu itimie.....Ile Taasisi nilijua tu itaingia kazin
Sasa hiyo Z inaingiaje hapoNa. M. M. Mwanakijiji
Unaweza ukakuta mbwa asiyebweka; unaweza kukuta mbwa anayebwekabweka tu lakini hang'ati. Kuna mbwa mwingine ukimtazama tu unajua huyu "shughuli". Na unaweza kukuta mbwa wanaopenda kucheza cheza; hawafoki, hawabweki, wapo wapo tu ila wanaona raha kuita "puppy, puppy"!
Siyo kila mbwa anaweza kubweka; na siyo kila mbwa anaweza kuwa wa kulinda. Wengine wapo kwa ajili ya mapambo tu kama tule tu 'chiuhahua'. Vimbwa vile vina makeke mengine lakini ndiyo hivyo ni vya kupet pet tu. Huwezi kulinda nyumba na hivi vijibwa. Kuna vingine ni vya mashindano tu; yaani unavipendezesha tu ilimradi watu waseme "she is so cuuuteeee".
View attachment 2411710
(Chiuhauha)
Na wapo mbwa wengine kazi yao ni kuwinda si kulinda; kuna hao wanaitwa 'greyhounds'. Wanakimbia hawa, wanafukuza lakini mara nyingi hawali! Watakamata kasungura watakusubiri ukawahi! Wao wanakimbiza hata karatasi kwenye upepo.. alimradi waoneshe uwezo wao wa kukimbia!
Lakini inasemekana ukitaka ulinzi mzuri na mbwa anayetii na kufuata amri na akawa mzuri hata nyumbani hakuna anayependwa zaidi kama German Shepherd au mchanganyiko wake. Na wengine wanawapenda wale Doberman. Haya bana ukikutana nayo lazima ujibane ukitembea!
View attachment 2411706
(Doberman Pinscher)
View attachment 2411709
(German Shepherd)
Lakini vyovyote vile ukali wa mbwa humtegemea mwenye mbwa. Kama mbwa analelewa kwa kuruhusiwa kuchezewa chezewa tu, kushikwa shikwa tu hata kama ni mbwa kwa asili ni mkali anaweza kuwa kama pets wengine tu! Sasa ukifika mahali ukakuta mtu anasema ana mbwa mlinzi halafu watu wanakuja na kuiba kila kukicha na yeye anajisifia mbwa aliyenaye ni mzuri kwa vile anaweza kufoka tu basi ujiulize.
Ndio maana hawa FFU na mbwa wao wale; akimwambia "kamata".. lazima amuachie! hawezi kumwambia kamata halafu akaendelea kumshika kwani na yeye ataburuzwa!
Somo la leo: Ukali wa Mwenye Mbwa humtegemea Mwenye Mbwa.... kama mbwa hang'ati, hafoki, hapigi mkwara hata kuja hadi getini tu... watu wakaogopa.. tatizo yumkini si mbwa.... tatizo ni .....
a. Mbwa
b. Kola ya Mbwa
c. Chakula cha Mbwa
d. Mwenye Mbwa
z. Magufuli.
PreyUkali wa Mbwa Mwitu humtegemea nani ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilidhani ni Kinyakyusa cha ndaniii...asante.
Utashukiwa kama mwewe na kuitwa sukuma gang na walee jamaa. Yaani umemtaja Magufuli?Na. M. M. Mwanakijiji

Mwitu...Ukali wa Mbwa Mwitu humtegemea nani ?
Ukali wa mbwa hutegemea mbinu za mwenye mbwa. Mbwa wengine huonekana ni wakali kwa kuwa wana bweka bweka hovyo tu.Na. M. M. Mwanakijiji