Wazo Fyatu: Ukali wa Mbwa Humtegemea Mwenye Mbwa...

Akili mingi
 
Hapo kwenye Z. Ndo umefanya uncode. Drama inaendelea huko kilingeni na wanajipodoa na mapovu yao wenyewe
 
Hiyo kweli kabisa. Sema wenye mbwa wengine huchukua majukumu ya mbwa! Yaani, mwizi akija hawataki mbwa wabweke kwa wivu ila wanabweka wao, kujaribu kumkimbiza mwizi na huku nyuma wezi wanamzunguka na kukwapua!!
 
Pia mbwa ukimvutisha bangi (cannabis) anakuwa mkali sana. Kwa hiyo ukali was mwenye mbwa na Bangi Huwa vinasaidia
 
mbwa kwa asili ni kiumbe wa kujipendekeza kwa boss,hupenda na huona fahari kutekeleza yale anayofundishwa na kuamriwa na boss wake,hutenda kwa furaha,wepesi na usahihi ili kumfurahisha boss wake,kasheshe ni pale anapogundua boss wake hapendi yeye atekeleze yale aliyomfundisha,mbwa hujaribu namna nyingine kumfurahisha boss wake,hutenda hata ambayo hayapo ktk mtaala aliofundishwa ili tu boss afurahi.hukata tamaa zaidi boss anapoonyesha hataki shobo[emoji28][emoji28],mbwa hubaki getini kwa unyonge sana asijue nini afanye kumweka sawa boss wake.


lakini hubaki mtiifu mpaka uzeeni,maana sio asili yake kulala na mwizi avuke geti na kuingia ndani kuiba.
 
Yaani mwenye mbwa naye anamtu ameshika mnyororo? Mbona ni kama kile kitendawili cha "mbele ya baba Kuna baba na nyuma ya baba Kuna baba; kulikuwa na baba wa ngapi?". Labda wa kumtafuta mshika mwenye mbwa...
Wamiliki halali wa mbwa na mwenye mbwa ndio tatizo,NI MAZEZETA
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Badilisha hili kwako mwenyewe ama kwangu mwenyewe. Hata ukali wa ubongo wako ama wangu inategemeana namie mwenyewe navyouendesha kuu handle, naulisha Nini Kati ya social media,books hata Kama books za mlengo gani,miziki nayosikiliza,watu naongea nao,naofanya nao kazi,mazungumzo nayoji engage kuchangia,movies nazocheki. Everything it's within your reach. Garbage in garbage out aka gigo.
 
Khaaa...
 
🕕100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…