Wazo gani la kibiashara ambalo limewatoa watu??

Juma WALEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
204
Reaction score
40
Jamani wakuu naomba mshiriki kutaja ideas zisizo za kawaida ambazo zimewatoa kimaisha watu unaowafahamu
 
Mawazo mazuri ni mengi ila inategemea saana mtekelezaji wa wazo, mazingira yako nk.
Mawazo mengine yanahitaji elimu au ujuzi wa aina fulani. Dhamira na mengine mtaji. Tungelijua elimu na mahali alipo mtaka wazo angepewa kitu kitakachomfaa.
Mfano dogo wa la saba akijifunza ufundi wa pikipiki chini ya mwaka atakuwa anaweza fungua ofisi yake popote tz maana zipo tele. Wateja kibao.
 
Inategemea na mtaji au utaalam wako mkuu.
 

Mkuu, mtoa mada haombi wazo la biashara isiopokuwa anataka kujua ni biashara gani zimewatoa watu unaowafahamu katika sehemu unayoishi? Ulichoandika hapa tumekiona na tunashukuru kwa hilo! Kwa sasa njoo na mjina ya watu waliofanikiwa kibiashara na biashara wanazozifanya. Mf. Bakhresa, Mengi and so foth!
 
Nimepitia comment zenu wakuu asante kwa michango yenu ila nilitaka angalau mifano ya wa2 ambao wamewin kwa wazo simple
 
Shigongo alitoka kwa kukomaa na magzeti pendwa.

Mengi alitoka kwa kukomaa na serious media,

Bakhresa alitoka kwa kukomaa na food products

Diamond alitoka kwa kukomaa na mziki

Papaa msofe alitoka kwa kukomaa na udalali na utapeli

Mafurungi alitoka kwa kufanya franchising

Patrick ngowi alitoka kwa kukomaa na solar energy.

NB: wote walitoka kwa kukomaa na kitu fulan,then kilichofuata baada ya hapo ni diversification ,ambapo the profit waliyo ipata huko wali ireinvest katika idea nyingine ,had leo hii unawaona hapo walipo
 
uko wap hapa tanzania? elimu/ujuz gani unao? una mtaji kiasi gani?...
 

Humeelewa thread lakini! hiyo link imemtoa nani? Kama una muda wa kupoteza kutafuta referal points online kazi unayo, sema tukupe connection kuliko kukaa unapteza muda kutafuta senti ambazo hata hivyo hautapewa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…